This is what love is......

monaco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,184
Reaction score
1,780
Wadau poleni na Majukumu ya kazi.....

Muda Mrefu nimekuwa nikiona mada nyingi sana kuhusu kuumizwa na Mapenzi,Wengi wetu nikiwa na mimi Hatujui What is Love,So According to Me....
This is What is Found it Get this attachement,kama haijafika Samahani,So please listen it,Meditate it,put in ur mobile phone/Laptop and listen it.
Karibuni wote.
WENU.
MONACO.
 
ingekuwa na subtitle ingekuwa nzuri zaidi,

thanks
 
... I have found it ... AND I dont know what to do with iT!!
 
ingekuwa na subtitle ingekuwa nzuri zaidi,

thanks
Vitu vizuri huwa haviwi vizuri zaidi,vinakuacha upate muda wa kutafakari na kuamua mwenyewe,inakupa tu bases/Principle ktk fani hiyo ambayo wengi ni wageni....
 
... I have found it ... AND I dont know what to do with iT!!
Yes..
That is a good Answer from you Na ndio inatakiwa iwe hivyo ni Sanaa hiyo....haikupi A final solution,inakupa tuu njia,mwanga na kukuacha Uamue mwenyewe,ni kama imekupa notes ambazo either ulikuwa hauna/ulizisahau/hujui pa kuzipata ili ujikumbushie...But The thread inakupa wigo mpana wa kuamua mwenyewe.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…