This is the next gift to my baby

Mkuu we mpe kama na yeye unaona unakupenda mhudumie usisikiliza vijembe humu, hai wanaosema ooh mara upigwe tukio na wao wana wa kwao tena wana wahudumia Sana Sana tu
 
Mpe iphone 12
Imekaa kishua sana

Hata 11 imekaa poaaa

Bei ni 1.3+
 
Kama unatoa ktoka ktk excess yako sina pingamizi, tatzo huja pale unapojinyima na kuamua kufanya jambo kwa king'ast wako,

Mambo yakibuma wengi hujipiga vitanzi
 
Mkuu naona unakoelekea nyuzi zako ni za kuwatia tamaa wadogo zangu humu jf. [emoji28][emoji28]
[emoji3][emoji3][emoji3] wala siwatii tamaa bali nataka kuwaambia wanaume wenzangu tunatakiwa tuwajali hawa watoto wa kike
 
Kweli watu na nyuzi zao

Lillo 002 yeye ni zawadi za mpenzi

DeepPond yeye ni vituko vya Mama j

GENTA yeye ni simba yanga na kula ban

Mpwayungu yeye ni walimu na kudhurula mara singida mara Rwanda
Umenichekesha sana aisee! Halafu kuangalia kweli Popoma yupo kwenye ban dah! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji3][emoji3][emoji3] wala siwatii tamaa bali nataka kuwaambia wanaume wenzangu tunatakiwa tuwajali hawa watoto wa kike
Hahahaaa. Haya bana.

Japo usisahau sio wote wahusika wao ni members wa Jf. 🤣
 
Kweli watu na nyuzi zao

Lillo 002 yeye ni zawadi za mpenzi

DeepPond yeye ni vituko vya Mama j

GENTA yeye ni simba yanga na kula ban

Mpwayungu yeye ni walimu na kudhurula mara singida mara Rwanda

Umesahau mpwayungu vs genta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…