Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Katiba mpya itatuondolea huu uchekibobu
Kwani hii ya sasa inaruhusu jambo hili..???Katiba mpya itatuondolea huu uchekibobu
Unauliza tena? Bongeee la msafaraaaa,,hujui mke wa raisi ni raisi?Ndo ujue nchi inaongozwa na macheck bobu..! Nahisi hata salma kiwete ana msafara
Mie nikistukia ni msafara wa salma au wa ridhiwani nazima gari katikati ya barabara..! Liwalo na liwe, cant give them a wayU
Unauliza tena? Bongeee la msafaraaaa,,hujui mke wa raisi ni raisi?
Katiba yetu hairuhusu naibu Waziri kuongozwa na msafara,haya ni matumizi mabaya ya madaraka.
Hakuna wa kumfunga paka kengele maana wote ndio wale wale,hapa mpaka waje wapinzani na kulipigia kelele ndio utaona wanaacha ubaladhuli wao.hv ni nani mwenye jukumu la kufuatilia kosa kama ili?
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Mahadhi, naye anaongozwa na msafara. Msafara wake unaongozwa na pikipiki ya askari una magari yapatayo tisa. Tena,kuna msafara mwingine wa maafisa wa Wizara hiyo. Kila mtu Serikalini sasa ana msafara? It is too much!