Mi nadhani hoja yake ambayo imemfanya alie sio kama ambavyo umeipokea.
Yeye anahuzunishwa na maisha/hali inakoelekea (hana ajira) na kwenye mitihani /Usaili kuwania nafasi za Ajira anakutana na wale waliokuwa ni wanafunzi wake. Lakini kubwa zaidi tukubali-tukatae; umri kwa jinsia Ke ni mojawapo ya visababishi vikubwa vya Stress.