hapana ligi hapo mkuu, hapana ushindani wala nini.
Kanitoa mbali..
Natakiwa nimpende...
Nawajua vijana wa kibongo mnapenda vya kunyongewa!!
ha ha ha ole wake uje hapa na thread ya vane tena hakyababa naku :spider:
hayo ndo mambo si kila kulialia na mke wa mtu miss chagga hongera swrty
Tyta na kiwatengu..
nachukua nafasi hii kuipongeza kazi ya vidole vyenu.. Tembosa n miss chagga, tambueni uwepo wa hawa wakuu
Tyta na kiwatengu..
nachukua nafasi hii kuipongeza kazi ya vidole vyenu.. Tembosa n miss chagga, tambueni uwepo wa hawa wakuu
Piganeni... wakati mnaendelea kupigana mi najisepea na mtoto...
vita vya panzi sio??Piganeni... wakati mnaendelea kupigana mi najisepea na mtoto...
Hakunizidi kete mkuu... niliamua tu kuwa gentleman nikamuachia
angalia usikute bado unalima!!!Mh! Naona 2014 ni mwaka wa mavuno!!
makavu laivuha ha ha ha mziki mkubwa ule nadhani Jerrymsigwa atauvusha maji hadi Australia.
Kama siyo Sydney basi ni Melborne! we wa Rombo tafuta vya kirombo rombo!!
ha ha ha ha mziki mkubwa ule nadhani Jerrymsigwa atauvusha maji hadi Australia.
Kama siyo Sydney basi ni Melborne! we wa Rombo tafuta vya kirombo rombo!!
angalia usikute bado unalima!!!
mi bado natafuta shambaloh! Mkuu kwani we bado kuvuna.! Mi ndo kwanza nasafisha shamba!
Tatizo mkuu hawa viumbe ukiwa mkweli hawakuelewi... hata hivyo potelea mbali. .. mi ntasema ukweli daima