britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,286
- 49,229
We mkalimani mkuje kila siku?Wakalimani mkuje sasa
Kwenye well educated napinga. The less educated she is, the better woman she is.
Mengine utajua mwenyewe
Gugo wamenikalimia hiviWe mkalimani mkuje kila siku?
Jiongeze gugo [emoji51]
Unanipiga biti kumbe na wewe ni holaaaNimegoma kuelewa. ...Acha ni kremishe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Gugo wamenikalimia hivi
================
Mwanamke mzuri ni ambaye ana kazi nzuri, mwenye ujuzi na mwenye ujuzi, ni tajiri na hajawahi kuwa katika uhusiano na ni virigin ingeweza kusababisha kengele ya wanaume kuwa kitu kinachojitokeza juu yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbavu zangu halafu nimeshibaaa ujue
Nahisi nime muelewa
Je nime muelewa vibaya?
Bado naifikiria hii kengele iko wapi. ..na ikijitokeza juu yake ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo kwenye kengele ya mwanaume nimecheka sana
Gugo wamenikalimia hivi
================
Mwanamke mzuri ni ambaye ana kazi nzuri, mwenye ujuzi na mwenye ujuzi, ni tajiri na hajawahi kuwa katika uhusiano na ni virigin ingeweza kusababisha kengele ya wanaume kuwa kitu kinachojitokeza juu yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bado naifikiria hii kengele iko wapi. ..na ikijitokeza juu yake ?
Kweli Mkalimani njoo utusaidie gugo inazidi kutupoteza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kengele kinachojotokeza juu yake,make me think,πππππππππ
Fanya u think basi utuletee jibu. ...mimi bado naitafuta kengelekengele kinachojotokeza juu yake,make me think,πππππππππ