THIS BLOG, grade it!

hkeenshine

Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
36
Reaction score
4
habari waungwana na wataalamu wa masuala ya teknohama. Nimefungua blog inayo jikita zaidi kwenye masuala ya fashion zaidi link streetswaggerific.blogspot.com naombeni mnipe ushauri kwa nia ya kuboresha. Natarajia mengi toka kwenu wapendwa.
 
jaribu kufanya hiyo iwe link ili itupeleke direct kwenye blog yako,unatupa kazi.
 
Ni wazo zuri mkuu.
Ila kwa kuwa wengi wetu hicho kilugha tumejifunzia shuleni,unaonaje ungetumia hiki kilugha chetu tunachoongea vizuri,kuliko kile cha kuungaunga?Au wewe umeridhika na ile grammar niliyoona pale?!
 
asante mkuu . nimepata mawazo kama hayo toka ka marafiki zangu pia wana wazo hilo. nitarekebisha. nategemea mawazo na ushauri toka kwako na wanaJF wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…