Things You Only See In Dubai

Duuu tisha mbaya,simba,chui tz tunawakimbia wao wamewageuza marafiki safi sana
 
Duh! Hawa watu wanakufuru na hela ya mafuta. Nimeipenda hiyo ya hizo gari kwenye foleni. Hamna 'uchafu' hapo.
 
Hawa si ndio wanyama wetu tunawaachia wanawafanya wanavyotaka!!! Si ndio wale wanaotoroshwaga na madege?
 
Now there ain 't no way that you can kill a
beast dead
I got Middle East women and Middle East bread
I got oil well money , in the desert playing golf
Go chase short stack sheiki with a Louis scarf

Chest cold diamonds make a nigga wanna
cough
In Dubai 20 million on a villa loft
And then I step up in the club then these
other niggas mad as shit
The way I make the people wanna sing the
hook in Arabic

La ilaha illa Allah , ha la ili, hay yo
Hili be 'Allah , hey, hili bay yo
We getting Arab money
We getting Arab money....by Busta Rhymes
 
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>

Hii nimeipenda.. ila kuna wajinga wanakwambia "wanakula makombo"
Tungekua wote hivi walala njiani angalau wangepata kitu, misoc tunapika zaidi inabaki tunatupa au inaharibika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…