oko majimaji JF-Expert Member Joined Nov 11, 2016 Posts 846 Reaction score 2,264 Sep 30, 2024 #1 Jana tarehe 29 Septemba kwenye Madrid derby golikipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois alitupiwa kifuko cha Kinyesi a.k.a Nnyaa na mashabiki wa Atletico Madrid.
Jana tarehe 29 Septemba kwenye Madrid derby golikipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois alitupiwa kifuko cha Kinyesi a.k.a Nnyaa na mashabiki wa Atletico Madrid.
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,428 Reaction score 51,492 Sep 30, 2024 #2 Kwenye viwanja huku mikoani watu wa jukwaa la juu wanamwaga mikojo kwa wale walio chini yao. Na kama siomikojobasi ni maji+dagaa walio vundikwa kwa wiki nzima so you can imagine
Kwenye viwanja huku mikoani watu wa jukwaa la juu wanamwaga mikojo kwa wale walio chini yao. Na kama siomikojobasi ni maji+dagaa walio vundikwa kwa wiki nzima so you can imagine
U Umkonto JF-Expert Member Joined Dec 27, 2018 Posts 3,313 Reaction score 5,827 Oct 1, 2024 #3 Mr Q said: Kwenye viwanja huku mikoani watu wa jukwaa la juu wanamwaga mikojo kwa wale walio chini yao. Na kama siomikojobasi ni maji+dagaa walio vundikwa kwa wiki nzima so you can imagine Click to expand... Hahahaha! Sasa goli likifungwa mtu anaanza kumwaga maji yana mate basi ni shida tu
Mr Q said: Kwenye viwanja huku mikoani watu wa jukwaa la juu wanamwaga mikojo kwa wale walio chini yao. Na kama siomikojobasi ni maji+dagaa walio vundikwa kwa wiki nzima so you can imagine Click to expand... Hahahaha! Sasa goli likifungwa mtu anaanza kumwaga maji yana mate basi ni shida tu