Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,731
- 107,177
hakuna nchi ya kiafrika yenye mafuta ambayo wananchi wake wamebadirika kama Norway! Norway iko kama mnavyoiona kwa sababu ya kugundua mafutaSioni tofauti, leo wala kesho, gesi ya mtwara maneno yalikuwa yale yale, dhahabu maneno yale yale, uranium pia, ninachoona deni la taifa linazidi , watu wanatembea huku wanazungumza kilugha kwa njaa
Pole, unazani mafuta yaliyopo Tanzania ni kama hiyo lotion yenu?Mafuta haina faida yoyote kwa nchi...hata mimi sina haraka na mafuta ya Kenya...unless ingkuwa nyingi kama ile ya Nigeria, I dont see any benefits...cha muhimu ni kujenga viwanda vingi mno ili kutengeneza ajira...
Hakuna mafuta ya maana nchini Tanzania...pole ni kwako sababu sisi huwa hatufanyi sherehe sababu ya vitu vidogo vidogo...we think big...wacha hata Tanzania, Gabon iko na mafuta nyingi sana na imekuwa iki export mafuta hayo kwa miaka na mikaka ila Gabon hata haina uchumi wa maana...mimi sioni haja ya kusherehekea kisa mafuta drop mbili...Pole, unazani mafuta yaliyopo Tanzania ni kama hiyo lotion yenu?
Sahau hilo.Damn,what more can I say?,kilichobaki ni kuweka mipango yetu vzuri ili kuwe na universal income kwa kila mtanzania apate
Kenya kuna county inafanya tests za universal income...Sahau hilo.
hili ndilo swali la maana...wengine hapa wajinga wameshaanza kusherehekea ila hawajajua hata how much oil there is...unless it is like the oil in Nigeria or Angola, wasahau benefits zozote kwa uchumi.....Oil may be there but how much?
Pipeline tu mlivaa chupi kichwani itakua mafuta acha kunichekesha hahahaHakuna mafuta ya maana nchini Tanzania...pole ni kwako sababu sisi huwa hatufanyi sherehe sababu ya vitu vidogo vidogo...we think big...wacha hata Tanzania, Gabon iko na mafuta nyingi sana na imekuwa iki export mafuta hayo kwa miaka na mikaka ila Gabon hata haina uchumi wa maana...mimi sioni haja ya kusherehekea kisa mafuta...