Bosi vipi yaani tuache kusikiliza zilipendwa kwa kuogopa upweke, huo wimbo uzuri wake ni sanaa yake (hiyo tamthilia hapo mwanzo ni nzuri sana, aliyeitunga ni msanii mzuri); hebu yasikilize tena hayo mazungumzo kwenye TV na Cyndi anavyoyaiga. Hizi ndizo nyimbo zinazonifanya nitamani kuwa mtunzi wa mistari.