The USA national debt has hit $18 trillion

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,729
Reaction score
18,593
View attachment 209760Kwa mara ya kwanza ktk historia ya Nchi ya Marekani, chini ya uraisi wa Baraka Obama deni la nchi hiyo iliyo na Uchumi mkubwa kuliko yote Duniani limezidi ukubwa wa Uchumi wa Nchi hiyo, yaani Uchumi wa Marekani ni kama Dola za Kimarekani trilioni 17 lkn deni la Marekani chini ya Obama limefikia trilioni 18, hii ni rekodi mpya kabisa na haijawahi kufikiwa na Raisi yoyote yule ktk historia ya nchi hiyo muhimu hapa Duniani, na kama ilivyo hapa kwetu Raisi kikwete aliingia Madarakani kwa mbwebwe nyingi kama mwenzake Obama, alikuta (Kikwete) nchi ina ziada ya fedha (surplus), Raisi Mkapa alipambana sana kuhakikisha Nchi inafutiwa madeni yake yote na Wakopeshaji (Paris club) fedha ambazo ndizo zilitumika kujenga Shule nyingi sana nchini ktk kila Kata lkn baada ya kuingia masia Kikwete (ambaye alipendwa sana kama vile Obama na kuchaguliwa na kura nyingi kuliko Maraisi wote waliopita) akatafuna fedha zote na leo hii TZ ina deni kubwa haijawahi kutokea ktk Historia ya nchi yetu!

Source:http://www.nationalreview.com/article/394293/united-states-debt-stephen-moore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…