UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,046
- 9,344
National debt ya marekani iko cyclical toka enzi za Roosevelt. Kumbuka just 9 years ago kulikuwa na surplus. Sasa hivi congress imejaa politics sababu president is black. angekuwa caucasian hii issue ingekuwa solved kitambo. Ukumbuke plan walionayo Democrats kama ikifuatwa hilo deni linawezafutika in the next several years. Hilo dua lako naona ungemwombea mchina pia anayeifilisi Africahamjui maana ya kufilisika (bankrupt) ndio maana mnabisha marekani kufilisika! We nchi imekopa mpaka haikopesheki mnasema haijafilisika?
Au mnaona wanavyo tumia sana pesa kwenye vita kutafuta ukuu wa dunia mnadhani wana hela sanaaa?, ni sawa tu na ''kuweka heshima baa'' kwa pesa ya mkopo!
Nawaombea waendelee kufilisika labda vita itapungua duniani!,
Acha kubabaisha wewee, elimu hii hii ya chini ya mwembe inatosha kuelewa! defaulting the debt ya marekani inasababishwa na ''inabillity to pay'' ambayo ikitokea, ''any creditor may file a bankruptcy case'' mahakamani na mahakama ika-declare bankruptcy! Sasa kama ndani ya wiki 2 zijazo mahakama zitakua zimetoa uamuzi, hutaki kuelewa nini hapo?Defaulting the debt is not bankruptcy. Ulipata wapi elimu yako?
Acha kubabaisha wewee, elimu hii hii ya chini ya mwembe inatosha kuelewa! defaulting the debt ya marekani inasababishwa na ''inabillity to pay'' ambayo ikitokea, ''any creditor may file a bankruptcy case'' mahakamani na mahakama ika-declare bankruptcy! Sasa kama ndani ya wiki 2 zijazo mahakama zitakua zimetoa uamuzi, hutaki kuelewa nini hapo?
Na wewe unataka kuficha udhaifu kwenye mbawa za ubaguzi wa rangi??!!, umekua ccm na udini (tanzania), sipendi kusikia maneno hayo ya hovyo! Matumizi yao makubwa kwenye vita isiyo ya muhimu kama ya Iraq ndio chanzo cha kufilisika, usishangae surplus kuisha within 9 yrs. Bush anahusika sana hapa!, dua langu ni kwa mwanzilisha vita, muuaji wa moja kwa moja! Simaanishi namkubali muuaji wa taratibu (anaefilisi africa)National debt ya marekani iko cyclical toka enzi za Roosevelt. Kumbuka just 9 years ago kulikuwa na surplus. Sasa hivi congress imejaa politics sababu president is black. angekuwa caucasian hii issue ingekuwa solved kitambo. Ukumbuke plan walionayo Democrats kama ikifuatwa hilo deni linawezafutika in the next several years. Hilo dua lako naona ungemwombea mchina pia anayeifilisi Africa
darasa nililokupa linatosha!, nia yangu sio ubishiSibabaishi ndio ukweli wenyewe. All in all Defaulting is not Bankruptcy. Kaongeze darasa la monetary economy
I therefore question your credentials and critical thinking capabilitiesdarasa nililokupa linatosha!, nia yangu sio ubishi
Kudefault ni kushindwa kulipa,interest rates zitaongezeka,credit worthy ya treasury bonds itaenda chini,ila watu wengi hawatajali kwani bonds za marekani huwa zinagombaniwa sana na zina liquidity ya nguvu.darasa nililokupa linatosha!, nia yangu sio ubishi
National debt ya marekani iko cyclical toka enzi za Roosevelt. Kumbuka just 9 years ago kulikuwa na surplus. Sasa hivi congress imejaa politics sababu president is black. angekuwa caucasian hii issue ingekuwa solved kitambo. Ukumbuke plan walionayo Democrats kama ikifuatwa hilo deni linawezafutika in the next several years. Hilo dua lako naona ungemwombea mchina pia anayeifilisi Africa
Kudefault ni kushindwa kulipa,interest rates zitaongezeka,credit worthy ya treasury bonds itaenda chini,ila watu wengi hawatajali kwani bonds za marekani huwa zinagombaniwa sana na zina liquidity ya nguvu.
Kukopa kwa wamarekani sio kwamba wanafanya ziara na kwenda umangani kuomba hela.Huwa wana release bonds na watu au serikali au institutions zinanunua hoping that watapata faida baada ya muda fulani through interest,kwa hiyo wanaweza wakarelease let say 500bn$ wakafanya projects zao,wakapata faida,au wakatoza watu kodi halafu wakalipa...thats how they bailed out their banks.
Kwa hiyo kufilisika as such is misleading,hawataki Moody's walower creditworth yao,which most people wouldn't care anyways cause these mofos are still hot!!......so,haters please keep staying on the sidelines and let playas play!
Rais wa Marekani, Barack Obama, ameitumia hotuba yake kupitia televesheni kulibinya bunge litanzuwe mzozo wa madeni ya nchi hiyo.
Marekani iko katika hatari ya kufilisika mnamo wiki moja kutoka sasa, ila ikiwa tu kiwango cha kukopa nchi hiyo kitazidishwa. Katika hotuba aliyoitoa kutokea Ikulu, rais huyu aliwalaumu wabunge wa chama cha Republican kwa kukosekana kufikiwa mwafaka, na akawahimiza Wamarekani washilikiane kuweko suluhu.
Source: DW
<br /><font color="#ff0000">La kufilisika huo ni udaku........lakini tunakushukuru kwa kunukuu chanzo taarifa yako.</font>
Obama sasa hivi ni mdogo kama piritoni aisee