Ndo mana tunakuambia messi ni geniusKwa wasiojua kufikiri yes ila kwa wanaojua kufikiri.
1. Ronaldo hana Tattoo sijui kama awe amechora sasa hivi niwe sifahamu.
2. Wa kwanza kufika mazoezini na wa mwisho kuondoka. Hii imeripotiwa na watu mbalimbali toka sporting lisbon, Man united, madrid na juve.
-at sporting
https://www.goal.com/en/news/ronald...-at-sporting-after/12s262l50c82v1rtfas3r4xbmz
-At man united
Tevez anasema hajawahi kuwahi kabla ya ronaldo mazoezini kuna kipindi mazoezi saa 3 asubuhi akawahi saa 1 na nusu asubuhi akamkuta, next time akasema ngoja awahi zaidi akaja 12 asubuhi akamkuta. Unafikiri mkuu huyu ni mtu wa starehe kama unavyoaminishwa?
Carlos Tevez opens up on Lionel Messi and Cristiano Ronaldo's training ground routines | Daily Mail Online
-At madrid miguel Torres "CR9 first to arrive last to leave Training
https://www.goal.com/en/news/12/spa...raises-cristiano-ronaldos-performance-in-real
-At juve Ronaldo anaelekea kuwa babu la Gazzeta dello sport linareport same thing wa kwanza kufika mazoezini na wa mwisho kuondoka.
The typical day of Ronaldo: First to arrive, last to leave | Calciomercato.com
3. Mchezaji mwenye fat ndogo sana, just asilimia 7 akiwa katika age ya 33 hii ilijulikana wakati anapimwa afya na juve. Ni physique ya 20 yrs old boy.
Cristiano Ronaldo has the physical attributes of a 20-year-old | Daily Mail Online
4. Mlo wake. Evra anakuambia Ronaldo akikualika kula usiende utakuta tu mbogamboga huko
Evra: If Ronaldo invites you over for lunch, don't go
5. Mtu mzuri na mwenye Huruma.
Tumeona jamaa time to time akitoa utajiri wake kusaidia watu wasiojiweza, sio tu visenti baadhi ya mambo ya Ronaldo aliyofanya.
-point namba moja nimesema Ronaldo hana Tattoo, unajua sababu? Jamaa anasaidia sana damu yake kwa wahitaji, imagine na utajiri wake na anavyojali afya yake na kuwa katika peak ila still halimsaidii kusaidia waonaohitaji kwa kutoa damu.
-Espn wamereport Ronaldo kuna kombe lake moja ameliuza na kuraise Euro laki 6 (kama bilioni 2 za kitanzania) na kutoa sadaka kwa wasiojiweza
-mwaka 2015 amekuwa listed kama mwanamichezo anayetoa sadaka zaidi (sio mpira tu wanamichezo wote)
-mwaka 2015 Nepal ilipopata Earthquake ronaldo alichangia dola milioni 5 (zaidi ya bilioni 10 za madafu) na huo ni zaidi ya msahara wake wa mwezi.
-1.5m kujenga shule mbalimbali Gaza palestine
-kusaidia vitu vya watoto yatima syria
-165k kujenga kituo cha cancer
-kuna mtoto alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa ubongo wakamuomba atoe jezi na viatu jamaa akavitoa na akagharamia matibabu yote.
Vyote hivyo ukitaka source taja kimoja nitakutajia.
Na charity nyingi sio yeye anaesema amezitoa bali zinavuja au wafaidika wenyewe wanasema. Hujui anavyofanya kwa siri.
Mkuu kwa hizo quality unaamza vipi kumchukia? Na hao vigogo wa soka ndio hawa wanaoforge kura za baloon d or na kujiaibisha kila siku?
Kwangu mimi ronaldo ni role model wa kila mchezaji na binadamu wa kuigwa.
Ronaldo sio kwamba hakuwa na kipaji kipindi cha mwanzo man u alikuwa akipigisha watu misamba sana tu,
Na ajawahi kutokea mchezaji na atatokea kuchukua U.E.F.A tatu mfululizo ebooohHajawahi tokea mchezaji aliwahi kuchukua Ballon Do mara 4 mfukulizo kama Messi unabishaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaaaaaaaah ko unaamini mbape anamzidi messi au Ronaldo in reality?
Eboooh Pele kacheza ligi zaidi ya moja case closedKuna watu wanasababu za kijinga eti wanadai Messi sio bora sababu kacheza ligi moja tu,wakati wanasahahu PELE ndiye mchezaji bora wa muda wote amecheza SANTOS kwa miaka 18,miaka miwili ya mwisho kaenda kuimalizia US.
Mpaka niweke record za Guinness kuhusu Ronaldo?Benson Rayson, hoja zako ni dhaifu sana kamanda wangu...hata mtoto wa miaka 10 atakushangaa unaongea hivyo [emoji3][emoji3][emoji3]
Unajua maana ya makombe?hamna anaye mfikia Ronaldo eboooh.bingwa wa nini maana wenye makombe mengi hayupo hata top7
Ila watanzania tuna akili tunazozijua sisi wenye yani watu wanatuma stats et kuna mwingine anatuma misuli khhaaaaah!!![emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kwasababu hatujua ila unaongea pumba sana mkuuAhaaaaaaaaah ko unaamini mbape anamzidi messi au Ronaldo in reality?
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
huyu messi hamnaga kama yeye ata ntakuja kuwasimulia watoto zanguUkibisha Uje na facts sitaki longolongo ntakupiga BAN la kufa mtu[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]View attachment 1049208View attachment 1049210
Sent using Jamii Forums mobile app
UEFA ameichukua Madrid plus nguvu ya teammates wote sio cr7Nawe mtafute aliyechukua U.E.F.A tatu mfululizo,ukimpata na kupa buku mbili ya vocha
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
ichi kiumbe messi nikija zeeka ntakuja kuwasimulia watoto zangu jamaa ambavo haogopi msitu wa mabeki sio ronardo yule mfuga umbwa anataka mipira ya kuvizia ndo afunge ule ni ungese afu siku zote mtu anaye jua mpira hajisemi mimi najua ronardo tatizo misifa mingi akati hajuiUkibisha Uje na facts sitaki longolongo ntakupiga BAN la kufa mtu[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]View attachment 1049208View attachment 1049210
Sent using Jamii Forums mobile app
afu bhana kadogooooo sio mchoyo kama uyo kengeUkibisha Uje na facts sitaki longolongo ntakupiga BAN la kufa mtu[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]View attachment 1049208View attachment 1049210
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu wewe naona huna akili kabisa akafanye nini uko na ndo maana ronaldo alipokuwa anataka aongezew dau real madrid za kunyapia nyapia aljibiwa ivi KAMA VIPI SEPA UNATAKA ULIPWE KAMA MESSINinachokiona ligi ya spain ina uwiano mbovu sana kati ya timu kubwa na timu ndogo.....
Tumuombe messi akajaribu soka kwengine.... tangu ana miaka 13 mpaka umri huo yupo kwenye club hiyo hiyo.... barca ni messi na messi ni barca.... ana kipaji kikubwa sana, lakini mfumo wa barca unamnufaisha pia.
Kitu kimoja kwa ronaldo ambacho ni kikubwa sana kuweza kukabiliana na mikimiki ya huyu messi... bila ronaldo messi angekuwa ametamba kwa miaka 10 bila upinzani.... Neymar, Hazard wamefeli kuwa kwenye kiwango cha hawa jamaa.... mpira sio tennis kwamba utashindanisha wachezaji kwa kigezo cha one on one.....
Kutokana na aina ya uchezaji wa barca Ronaldo angelichezea timu hiyo angefanikiwa zaidi kuliko sehemu zote alizopita.... kucheza na akina oshea sio jambo rahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
that true,,,,,,UEFA ameichukua Madrid plus nguvu ya teammates wote sio cr7
Hakuwepo cr7 peke yake uwanjani
Basi ata benzema na yeye kabeba izo UEFA 3
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaahMen lie
Women lie
But Numbers Don’t