The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,444
- Thread starter
-
- #41
Nimeitunza hii comment.PSG ni timu ambayo haitakaa ichukue uefa kwa siku za hapa machoni labda wape miaka 6+ Shauku ya mtu huponza kukosa kitu wana timu ya kusumbua kina Caen..Nantes sio ya kutwaa UEFA..Hata Waingie na Monchegladbach hawawezi kutwaa Ndoo..
PSG Now ishakua Pisi ya United ambayo kwa sasa wanajenga kikosi mara ya 2 now anaenda kufa..Stade des PrnceNimeitunza hii comment.
Jana ilisemwa hiv hiv Man U hampigi Psg, lakin kakungutwa
Madrid Kamwe hatokaa Atolewe Kwenye Makundi Labda Dunia Isogee Sayari ya nne Unajua nn.Kipara kafeli kimbinu..Aljua atanufaika na home Ground..Kngne alkua na mambo 2 kichwan Game ya Shakhtar na El Classico Kaa ukijua Hajarudiana na Shakhtar..Kuna Kibonde Monchegladbach game 2 usisahau Inter huwag ni wakali kwao serie A Msimu uliopita walichkua point 1 kwa barcaMadrid kapigwa kwake....tayr mwanzo mbaya..anaeza tolewa makundi
Kipara awaze el classico wakati UEFA ndy mashindano makubwa...kama ni hivyo mbn kapanga kikosi kamili.PSG Now ishakua Pisi ya United ambayo kwa sasa wanajenga kikosi mara ya 2 now anaenda kufa..Stade des Prnce
Madrid Kamwe hatokaa Atolewe Kwenye Makundi Labda Dunia Isogee Sayari ya nne Unajua nn.Kipara kafeli kimbinu..Aljua atanufaika na home Ground..Kngne alkua na mambo 2 kichwan Game ya Shakhtar na El Classico Kaa ukijua Hajarudiana na Shakhtar..Kuna Kibonde Monchegladbach game 2 usisahau Inter huwag ni wakali kwao serie A Msimu uliopita walichkua point 1 kwa barca
Hajachezesha kikosi kamili ndio maan hukumwona Ramos wala Benzema..Ulimwona Eder Militao..Na wengineo ambao hawajachemistryKipara awaze el classico wakati UEFA ndy mashindano makubwa...kama ni hivyo mbn kapanga kikosi kamili.
Na hata wakirudiana wanaeza wasichomoe
Kiufupi ni kua alikua anatembelea nyota ya wachezaji na ndy hao hana mbinu ya kimchezo saivi
Ramos ni majeruhi kwahiy usiseme hajachezesh kikosi kamili...Benzema mbn amecheza pamoja na kwamba huyo dogo mwngn nae alicheza..kifupi ni kua Ronaldo ndy alikua anamsafish zidaneHajachezesha kikosi kamili ndio maan hukumwona Ramos wala Benzema..Ulimwona Eder Militao..Na wengineo ambao hawajachemistry
Mhhhhhh!!!!Hivi Vitu Deep Sanaaa!!!!!Kingne Mafuta na Maji yalishajitenga toka Game ya R of 16 Varane anajifunga Kwa Man City leo tena wameanzia walipoishia..Ukwel ni kwamba Combnation ya Varane na Cavarjal haipo bila uwepo wa Ramos Shimo Linaokena..Pia Sub ya Kroos altakiwa aanze au Sub angeifany mapema.... OG La Varane ni kosa lake ad Marcelo anakimbia kuja kuziba pale kat jiulize Carvajal alkua wapi nayy mwnywe alkua wapi ad jamaa anapiga pas ya kisigino?..
Ndio ivyo wanaboa bhna Inabidi wajipange waaminishe dunia kuwa zile rebbLe hawakubahatisha..Mm ningeambiwa niwashauri ningeeaambia wawaache wakongwe licha ya umuhimu wao ila umri ushapiga hodi..kwa kipind hiki waanze kuvalishana namba maingizo mapy na wakongwe kama Benzema..Varane..Carvajal..Marcelo na Casemiro..kuna vijana kama Mendy.. Valverde..Jovic na Rodryigo..ambao mara kwa mara hawapat nafasi..Mhhhhhh!!!!Hivi Vitu Deep Sanaaa!!!!!
Carvajal[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Carvajal Majeruhi.Ndio ivyo wanaboa bhna Inabidi wajipange waaminishe dunia kuwa zile rebbLe hawakubahatisha..Mm ningeambiwa niwashauri ningeeaambia wawaache wakongwe licha ya umuhimu wao ila umri ushapiga hodi..kwa kipind hiki waanze kuvalishana namba maingizo mapy na wakongwe kama Benzema..Varane..Carvajal..Marcelo na Casemiro..kuna vijana kama Mendy.. Valverde..Jovic na Rodryigo..ambao mara kwa mara hawapat nafasi..
Ngoja tuwaone El Classico Tutaanzia hapoCarvajal Majeruhi.
Namba Mbili Alicheza Mendy.