The True Face of Africa

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211

If you need happiness in your life, I will simply advise you to return to your roots. Mama Africa has got all to offer for you to be happy with the little you have in your possession...
 
You don't have to have tall buildings, Facebook, video games or the updated gadgets to be happy! As Africans, happiness was given to us naturally by our ancestors...
 
Wenetu waliozaliwa mijini hawayajui haya!
 
so true, kwa muda sasa nimekuwa nikitathmini stress zitupatazo tunapoyaangaikia haya maisha ya sasa, nataka niwe na hiki.na hiki na kile,mpaka tunajisahau tumekuja duniani KUTAFUTA au kuishi????utafutaji huu unapelekea mpaka tunasahau hata kusmile tunapoteza maana halisi ya maisha.
i want to go back in hose years............
 
home sweet home....! wangapi wako mijini watoto wao hawajui hata mzazi wao alikotokea achilia mbali kuongea lugha ya asili?
 
Umenikumbusha gazeti la jitambue nilisoma kipande kidogo Sana miaka ya 2003 au 4 Kama sikosei makala ilikuwa inahusu masuala ya furaha mtoto alikuwa kwenye hali ngum ukitazama mazingira lakini alikuwa na furaha nyingi nadhani msongo wa mawezo maeneo ya mjini hutokana na watu kujilinganisha zaidi na kuangalia vitu wasivyo Navyo kuliko walivyonavyo.be yourself u can not have the whole world.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…