The synopsis of Dr. Vicent Mashinji, Katibu Mkuu CHADEMA: Strength and Weakness

lars

Member
Jan 16, 2015
89
142
Amani iwe kwenu Wanabodi!

Kwanza kabisa napenda kumpongeza Dr Mashinji kwa kuteuliwa na chama chake kuchukua hiyo nafasi.

Napenda kushare nanyi katika kumfahamu Dr Mashinji, hasa historia, Strength and Weakness zake.

Kuzaliwa na elimu yake.

Dr Vincent B. Raphael Mashinji alizaliwa mwanzoni mwa miaka ya 70 kule Wilaya ya Sengerema. Ni mseminari aliyemaliza elimu ya O level pale Makoko Seminary, Musoma mwaka 1991 na baadae kuchaguliwa A-level kujiunga na Seminary ya Nyegezi na pia Shule ya Wanafunzi wenye vipaji maalumu kule Mzumbe High School.

Hata hivyo Dr Mashinji aliamua kwenda Mzumbe kwani alipenda PCB na hiyo combination haikuwepo Nyegezi Seminary. Alikuwa mmoja wa kundi la kwanza kabisa kusoma shule ye vipaji zilopoanzishwa, baada ya kuwa amefaulu vyema masomo ya Science. Baadae alifaulu vyema A level hapo Mzumbe na Kujiunga Chuo cha Makerere, Uganda ambako alihitimu shahada ya Udakatari wa Binadamu.

Alifanya internship Hospitali ya Taifa Muhimbili na baade alijiunga na Masters ya Anesthesiology pale MUCHS (sasa MUHAS). Baada ya ule mgomo wa interns/Drs (kabla ya ule wa Ulimboka), Dr Mashinji aliamua kujiunga na NGO’s za magonjwa ya UKIMWI na TB na tafiti. Wakati akiwa kwenye hizo ya NGO’s nje ya Serikali, Dr Mashiji alisoma Masters nyingine kama MBA huko Sweden. Pia amehudhuria kozi nyingine za mafunzo ya afya huko Marekani na Uingereza. Mpaka mwaka jana, Dr Mashinji alikuwa anamalizia PhD.

Hii ndiyo elimu yake na kwa hakika si ya kuunga unga na imeshiba haswa.

Uongozi, utawala na profession yake

Pale seminary ya Makoko, Dr Mashinji alikuwa mmoja wa viranja na alipoenda Mzumbe High School alibahatika kuchaguliwa kuwa Area Captain (Karume), kwa wale wasioijua Mzumbe hii post ni kama Mkuu wa Mkoa.

Alipokuwa Makerere alikuwa kiongozi wa chama cha wanafunzi (equivalent to DARUSO) na pale intern Muhimbili alikuwa kiongozi wa intern Dr na pia mjumbe wa kamati kuu ya chama cha Madaktari –MAT. Baada ya mwaka 2010 alianza kujihusisha na CHADEMA na kuongoza/kushirilki baadhi ya vikao vya strategic planning pamoja na kuandaa ilani ya uchaguzi ya chama.

Alipokuwa Muhimbili na MAT kama kiongozi, alishirika katika kutoa ushauri ambao ulipelekea mgomo wa interns na Drs ukaisha na Mishahara ya Drs ikapanda kwa asilimia 80-100% wakati yeye, wenzake na Dr Hamisi Kigwangala wakitolewa kafara.

Siyo kweli kuwa Dr Mashinji alishiriki tena mgomo wa kamati ya Dr Ulimboka kama baadhi ya watu wanavyopotosha. Hata hivyo migomo yote hii ilikuwa inalinda masilahi ya watanzania kwa kuomba kuongezwa vifaa tiba na pia masilahi mazuri kwa wafanyakazi. Vifaa tiba mpaka sasa ndio kero na kwa hakika Drs na nurses wataendelea kutumbuliwa kama kafara vifaa tiba vitaendelee kuwa chache au hakuna.

Kwenye professional yake, ame practice afya tiba (curative medicine) kwa muda mfupi sana ila zaidi muda mwingi ameutumia katika preventive Medicine, uongozi na public health. Alipokuwa anasoma Anaesthiology pale muhimbili, Dr Mashinji hakuwahi kuhusishwa na kashfa yoyoye ya kutakatisha madawa toka MSD kama inavyodaiwa na baadhi ya watu.

Kwa watu wanaoufahamu mfumo wa Medicine, Drs huwa hawahusiki na madawa kabisa na ni kazi ya pharmacia.(Watu wamekuwa wakipotosha Drs wanaiba dawa, mpaka wakampotosha mkuu wetu JPM. Dr huandika dawa tu na sio kazi yake kuitunza wa kuigawa). Pia Dr Mashinji hajawahi kuwa Daktari wa familia ya Mbowe kama inavyopotoshwa na wabaya wake.

Strength

Dr Mashinji, amejaliwa kuwa na uongeaji makini na pia anaweza kujenga hoja (backed by data) na kuweza kukushawishi unapo msikiliza. Hilo nadhani limechangia sana kumfanya awe muhimu ndani ya CHADEMA.

Ni mtu anayeamini katika, principles za utawala, science na tafiti si mtu wa kukurupuka wala kupanic ovyo ovyo.

Ni mcheshi na threshold ya hasira zake iko mbali. Hupenda pia kupata ushauri kutoka kwa wenzake na pia wazee wenye busara.

Kwa kifupi ni msikivu, mvumilivu lakini pia ni mtu mwenye kuthubutu kutoa maamuzi na hukataa kuendeshwa endeshwa kama zuzu(ana msimamo).

Dr Mashinji ni mtu mwenye upeo na huwa anaona mbali. Pia yuko creative na anaweza kuja na wazo ambao likaleta sense of originality na la maendeleo.

Bwana huyu hupenda sana kusoma vitabu na kwa kweli depth yake of thinking na knowledge ni kubwa sana kuliko viongozi wengi tulio nao. Ladha yake ya kimombo (English) na Kiswahili, utaipenda na ina mvuto fulani. Ni mtendaji na mfatiliaji mzuri na pia ni mwanamkakati haswa.

Weakness

Kila mtu hata akiwa na mazuri mangapi huwa hakosi mapungufu. Kama mnavowajua watu wa kule ziwani, Dr Mashinji naye ana chembe fulani ya kujiona na kadharau kidogo.

Hata hivyo huyu bwana huwa ni mwepesi wa kujitambua akidhani amekufanyia hivyo na baadae kujirudi. Ana marafiki wengi (washikaji) ni vema awe makini wakati huu wa uongozi.

Mwisho

Ninavyomjua Dr Mashinji, kwa caliber yake ya fikra, creativeness, knowledge, thinking, originality na kuona mbali, CHADEMA imepata kijana sahihi na Mungu amwongoze na kumlinda.
 
Karibu lars.

Umedadavua vizuri kwa jinsi nilivyo kusoma.

Sina hakika ulidhamiria kufikisha ujumbe gani lakini nimefarijika na natumaini wengi watafarijika na bandiko lako lenye maoni yako kuhusu Dr Mashinji. Nimeweza kujiridhisha Dr Mashinji ni mtu wa namna gani.

Si rahisi kukukosoa maana umetiririka vizuri na inaelekea unamfahamu vizuri kuliko wambea wa Lumumba wanavyomfahamu
 
Hata hivyo huyu bwana huwa ni mwepesi wa kujitambua akidhani amekufanyia hivyo na baadae kujirudi. Ana marafiki wengi (washikaji) ni vema awe makini wakati huu wa uongozi

Huu nao ni udhaifu?
 
Amani iwe kwenu Wanabodi!

Kwanza kabisa napenda kumpongeza Dr Mashinji kwa kuteuliwa na chama chake kuchukua hiyo nafasi.

Napenda kushare nanyi katika kumfahamu Dr Mashinji..hasa historia, strength and weakness zake.

Kuzaliwa na elimu yake.

Dr Vincent B. Raphael Mashinji alizaliwa mwanzoni mwa miaka ya 70 kule Wilaya ya Sengerema. Ni mseminari aliyemaliza elimu ya O level pale Makoko Seminary , Musoma mwaka 1991 na baadae kuchaguliwa A-level kujiunga na Seminary ya Nyegezi na pia Shule ya Wanafunzi wenye vipaji maalumu kule Mzumbe High School.

Hata hivyo Dr Mashinji aliamua kwenda Mzumbe kwani alipenda PCB na hiyo combination haikuwepo Nyegezi Seminary. Alikuwa mmoja wa kundi la kwanza kabisa kusoma shule ye vipaji zilopoanzishwa, baada ya kuwa amefaulu vyema masomo ya Science. Baadae alifaulu vyema A level hapo Mzumbe na Kujiunga Chuo cha Makerere, Uganda ambako alihitimu shahada ya Udakatari wa Binadamu.

Alifanya internship Hospitali ya Taifa Muhimbili na baade alijiunga na Masters ya Anesthesiology pale MUCHS (sasa MUHAS). Baada ya ule mgomo wa interns/Drs (kabla ya ule wa Ulimboka), Dr Mashinji aliamua kujiunga na NGO’s za magonjwa ya na Ukimwi na TB na tafiti. Wakati akiwa kwenye hizo ya NGO’s nje ya serikali, Dr Mashiji alisoma Masters nyingine kama MBA huko Sweden. Pia amehudhuri kozi nyingine za mafunzo ya afya huko Marekani na Uingereza. Mpaka mwaka jana, Dr Mashinji alikuwa anamalizia PhD.

Hi ndiyo elimu yake na kwa hakika si ya kuunga unga na imeshiba haswa.

Uongozi, utawala na profession yake

Pale seminary ya Makoko, Dr Mashinji alikuwa mmoja wa viranja na alipoenda Mzumbe High School alibahatika kuchaguliwa kuwa Area Captain (Karume)..kwa wale wasioijua Mzumbe hii post ni kama Mkuu wa Mkoa.

Alipokuwa Makerere alilkuwa kiongozi wa chama cha wanafunzi (equivalent to DARUSO) na pale intern Muhimbili alikuwa kiongozi wa intern Dr na pia mjumbe wa kamati kuu ya chama cha Madaktari –MAT. Baada ya miaka 2010 alianza kujihusisha na chadema na kuongoza/kushirilki baadhi ya vikao vya strategic planning pamoja na kuandaa ilani ya uchaguzi ya chama.

Alipokuwa Muhimbili na MAT kama kiongozi, alishirika katika kutoa ushauri ambao ulipelekea mgomo wa interns na Drs ukaisha na Mishahara ya Drs ikapanda kwa asilimia 80-100% wakati yeye , wenzake na Dr Hamisi Kigwangala wakitolewa kafara. Siyo kweli kuwa Dr Mashinji alishiriki tena mgomo wa kamati ya Dr Ulimboka kama baadhi ya watu wanavyopotosha. Hata hivyo migomo yote hii ilikuwa inalinda masilahi ya watanzania kwa kuomba kuongezwa vifaa tiba na pia masilahi mazuri kwa wafanyakazi. Vifaa tiba mpaka sasa ndo na kero na kwa hakika Drs na nurses wataendelea kutumbuliwa kama kafara vifaa tiba vitaendelee kuwa chache au hakuna.

Kwenye professional yake, ame practice afya tiba (curative medicine) kwa muda mfupi sana ila zaidi muda mwingi ameutumia katika preventive Medicine , uongozi na public health. Alipokuwa anasoma Anaesthiology pale muhimbili , Dr Mashinji hakuwa kuhusishwa na kashfa yoyoye ya kutakatisha madawa toka MSD kama inavyodaiwa na baadhi ya watu.

Kwa watu wanaoufahamu mfumo wa Medicine, Drs huwa hawahusiki na madawa kabisa na ni kazi ya pharmacia.(Watu wamekuwa wakipotosha Drs wanaiba dawa..mpaka wakampotosha mkuu wetu Mhe. JPM.. Dr huandika dawa tu na so kazi yake kuitunza wa kuigawa) .Pia Dr Mashiji hajawahi kuwa Dakatari wa familia ya Dr Mbowe kama inavyopotoshwa na wabaya wake.

Strength

Dr Mashinji, amejaliwa kuwa na uongeaji makini na pia anaweza kujenga hoja (backed by data) na kuweza kukushawishi unapo msikiliza. Hilo nadhani limechangia sana kumfanya awe muhimu ndani ya chadema.

Ni mtu anayeamini katika, principles za utawala, science na tafiti si mtu wa kukurupuka wala kupanic ovyo ovyo.

Ni mcheshi na threshold ya hasira zake iko mbali. Hupenda pia kupata ushauri kutoka kwa wenzake na pia wazee wenye busara.

Kwa kifupi ni msikivu, mvumilivu lakini pia ni mtu mwenye mwenye kuthubutu kutoa maamuzi na hukataa kuendeshwa endeshwa kama zuzu(ana msimamo).

Dr Mashinji ni mtu mwenye upeo na huwa anaona mbali. Pia yuko creative na anaweza kuja na wazo ambao likaleta sense of originality na la maendeleo.

Bwana huyu hupenda sana kusoma vitabu na kwa kweli depth yake of thinking na knowledge ni kubwa sana kuliko viongozi wengi tulio nao. Ladha yake ya kimombo (English) na Kiswahili, utaipenda na ina mvuto fulani. Ni mtendaji na mfatiliaji mzuri na pia ni mwa mkakati haswa.

Weakness

Kila mtu hata akiwa na mazuri mangapi huwa hakosi mapungufu. Kama mnavowajua watu wa kule ziwani, Dr Mashinji naye ana chembe fulani ya kujiona na kadharau kidogo.

Hata hivyo huyu bwana huwa ni mwepesi wa kujitambua akidhani amekufanyia hivyo na baadae kujirudi. Ana marafiki wengi (washikaji) ni vema awe makini wakati huu wa uongozi.

Mwisho

Ninavyomjua Dr Mashinji, kwa caliber yake ya fikira, creativeness, knowledge, thinking, originality na kuona mbali , Chadema imepata kijana sahihi na mungu amwongoze na kumlinda.
BADO MCHANGA SANA HUYU, ANAHITAJI MIAKA 15 KUPAMBANA NA SIASA ZA SASA, MIGOMO HATA UDSM TULIKUWA NAYO YA BOOM, SIASA NI KAMA NDOA HAINA FORMULA
 
Aisee..!!Kumbe MUHAS hakumaliza Kozi ya usingizi! Akitaka kutibu tena anaanza Kama Yule alimaliza interns!Umri wa uanachama wake Chadema hauzidi 3 years unamfananisha vipi Dr Slaa?Hivi Kosa Kama hili CCM wanaweza kulifanya kweli?period
 
Kila mtu hata akiwa na mazuri mangapi huwa hakosi mapungufu. Kama mnavowajua watu wa kule ziwani, Dr Mashinji naye ana chembe fulani ya kujiona na kadharau kidogo.

Mapungufu aliyonayo

1.PHD hana sababu hajaipata hadi sasa lakini anajipepea kama vile anayo wakati hana
2.Amejiunga CHADEMA na kuchukua kadi 2013 hivyo ana miaka miwili tu katika chama.Haijui CHADEMA vizuri ukilinganisha na wakongwe kama akina Mnyika,Baregu,LISSU nk
3.Hana uzoefu wa Uogozi wa CHADEMA na serikali.Hajawahi hata kuwa kiongozi wa Tawi
4.Hana uongozi uliotukuka katika jamii zaidi ya uongozi wa migomo ya madaktari
5.Hafahamiki kwa WANA CHADEMA waliopigania chama jua liwake na mvua inyeshe hivyo ana kazi ya ziada kujitambulisha na kukubalika kwa wanachama
6.Hana kazi ya kijamii kubwa inayofahamika aliyowahi fanya
 
Kitendo cha kujitapa kuwa aliongoza mgomo wa kishenzi wa madaktari tayari wananchi wameshamwona ni mtu wa hovyo na chama anachokitumikia kitaonekana cha hovyo.

Mgomo ule ulimalizwa kihuni kwa kipondo kwa jamaa aliyekuwa kimbelembele hivyo watani wao watajua hawa jamaa dawa yao kichapo, sasa ndo kawaponza wazungusha mikono.
 
Wananchi wa Lumumba?
 
Hongereni CHADEMA kwa kuchagua kichwa hichi.Sasa FUTURE VISIONS zitakuwa za uhakika cha muhimu zaidi ni ushirikiano na kuepuka kejeli kama za wanalumumba,kuweni wawazi kwa wafuasi wenu tuwe pamoja hadi kieleweke,
NINA IMANI NA CHADEMA.
 
Ila kuna watu wana wivu na chuki!.mapovu yamewajaa hadi chai hawawezi kumeza, kahawa na kashata pale lumumba zimechacha...hivi kwani katbu wao ana degree ya ujangili??
 
.hivi kwani katbu wao ana degree ya ??

Abdulahaman Kinana katibu mkuu wa CCM ndiye katibu mkuu bora kuliko wa vyama vyote vya siasa Tanzania.

sifa

1 Ni msomi akiwa na digrii mbili ikiwemo Masters ya uongozi wa umma aliyopata toka chuo bora kuliko vyote duniani cha Havard kilichoko Marekani

2.Amekuwa kiongozi wa vijana wa chama kwa miaka mingi hivyo mambo ya vijana anayajua vizuri

3.Alikuwa ni kanali JWTZ hivyo jeshi analijua vizuri sana
4.Alikuwa ni mwalimu wa Siasa jeshini hivyo siasa za kijeshi anazijua
5.Alikuwa Mwalimu wa siasa chuo cha CHAMA kivukoni akifundisha na kupika na kuwaanda wanasiasa wa CHAMA HIVYO MWALIMU WA siasa kushika ukatibu mkuu saizi yake
6.Alikuwa naibu waziri wa mambo ya nchi za nje hivyo siasa za kimataifa hazimpigi chenga
7.Alikuwa naibu waziri wa ulinzi
8.Alikuwa mbunge wa Tanzania na Afrika Mashariki hivyo siasa za mabungeni anazijua
9.Alikuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki hivyo anajua siasa za kuendesha mabunge
10.Alikuwa kampeni meneja wa kampeni za urais CCM zilizofanikisha kuingiza wagombea urais,wabunge na madiwani wa CCM madarakani

Ukiangalia sifa Kinana alizonazo huwezi kulinganisha na makatibu wakuu wa vyama vingine ambao wengine hawana uzoefu wowote wa uongozi ndani ya vyama au serikali zaidi ya kuwa wamewahi fanya kazi ya kugawa vidonge vya panadol mahospitalini.
 
Nyongeza; Kupitia hayo yote pia amekuwa jangl mkuu mwenye uzoefu wa kutosha...
 
Amani iwe kwenu Wanabodi!

Kwanza kabisa napenda kumpongeza Dr Mashinji kwa kuteuliwa na chama chake kuchukua hiyo nafasi.

Napenda kushare nanyi katika kumfahamu Dr Mashinji, hasa historia, Strength and Weakness zake.

Kuzaliwa na elimu yake.

Dr Vincent B. Raphael Mashinji alizaliwa mwanzoni mwa miaka ya 70 kule Wilaya ya Sengerema. Ni mseminari aliyemaliza elimu ya O level pale Makoko Seminary, Musoma mwaka 1991 na baadae kuchaguliwa A-level kujiunga na Seminary ya Nyegezi na pia Shule ya Wanafunzi wenye vipaji maalumu kule Mzumbe High School.

Hata hivyo Dr Mashinji aliamua kwenda Mzumbe kwani alipenda PCB na hiyo combination haikuwepo Nyegezi Seminary. Alikuwa mmoja wa kundi la kwanza kabisa kusoma shule ye vipaji zilopoanzishwa, baada ya kuwa amefaulu vyema masomo ya Science. Baadae alifaulu vyema A level hapo Mzumbe na Kujiunga Chuo cha Makerere, Uganda ambako alihitimu shahada ya Udakatari wa Binadamu.

Alifanya internship Hospitali ya Taifa Muhimbili na baade alijiunga na Masters ya Anesthesiology pale MUCHS (sasa MUHAS). Baada ya ule mgomo wa interns/Drs (kabla ya ule wa Ulimboka), Dr Mashinji aliamua kujiunga na NGO’s za magonjwa ya UKIMWI na TB na tafiti. Wakati akiwa kwenye hizo ya NGO’s nje ya Serikali, Dr Mashiji alisoma Masters nyingine kama MBA huko Sweden. Pia amehudhuria kozi nyingine za mafunzo ya afya huko Marekani na Uingereza. Mpaka mwaka jana, Dr Mashinji alikuwa anamalizia PhD.

Hii ndiyo elimu yake na kwa hakika si ya kuunga unga na imeshiba haswa.

Uongozi, utawala na profession yake

Pale seminary ya Makoko, Dr Mashinji alikuwa mmoja wa viranja na alipoenda Mzumbe High School alibahatika kuchaguliwa kuwa Area Captain (Karume), kwa wale wasioijua Mzumbe hii post ni kama Mkuu wa Mkoa.

Alipokuwa Makerere alikuwa kiongozi wa chama cha wanafunzi (equivalent to DARUSO) na pale intern Muhimbili alikuwa kiongozi wa intern Dr na pia mjumbe wa kamati kuu ya chama cha Madaktari –MAT. Baada ya mwaka 2010 alianza kujihusisha na CHADEMA na kuongoza/kushirilki baadhi ya vikao vya strategic planning pamoja na kuandaa ilani ya uchaguzi ya chama.

Alipokuwa Muhimbili na MAT kama kiongozi, alishirika katika kutoa ushauri ambao ulipelekea mgomo wa interns na Drs ukaisha na Mishahara ya Drs ikapanda kwa asilimia 80-100% wakati yeye, wenzake na Dr Hamisi Kigwangala wakitolewa kafara.

Siyo kweli kuwa Dr Mashinji alishiriki tena mgomo wa kamati ya Dr Ulimboka kama baadhi ya watu wanavyopotosha. Hata hivyo migomo yote hii ilikuwa inalinda masilahi ya watanzania kwa kuomba kuongezwa vifaa tiba na pia masilahi mazuri kwa wafanyakazi. Vifaa tiba mpaka sasa ndio kero na kwa hakika Drs na nurses wataendelea kutumbuliwa kama kafara vifaa tiba vitaendelee kuwa chache au hakuna.

Kwenye professional yake, ame practice afya tiba (curative medicine) kwa muda mfupi sana ila zaidi muda mwingi ameutumia katika preventive Medicine, uongozi na public health. Alipokuwa anasoma Anaesthiology pale muhimbili, Dr Mashinji hakuwahi kuhusishwa na kashfa yoyoye ya kutakatisha madawa toka MSD kama inavyodaiwa na baadhi ya watu.

Kwa watu wanaoufahamu mfumo wa Medicine, Drs huwa hawahusiki na madawa kabisa na ni kazi ya pharmacia.(Watu wamekuwa wakipotosha Drs wanaiba dawa, mpaka wakampotosha mkuu wetu JPM. Dr huandika dawa tu na sio kazi yake kuitunza wa kuigawa). Pia Dr Mashinji hajawahi kuwa Daktari wa familia ya Mbowe kama inavyopotoshwa na wabaya wake.

Strength

Dr Mashinji, amejaliwa kuwa na uongeaji makini na pia anaweza kujenga hoja (backed by data) na kuweza kukushawishi unapo msikiliza. Hilo nadhani limechangia sana kumfanya awe muhimu ndani ya CHADEMA.

Ni mtu anayeamini katika, principles za utawala, science na tafiti si mtu wa kukurupuka wala kupanic ovyo ovyo.

Ni mcheshi na threshold ya hasira zake iko mbali. Hupenda pia kupata ushauri kutoka kwa wenzake na pia wazee wenye busara.

Kwa kifupi ni msikivu, mvumilivu lakini pia ni mtu mwenye kuthubutu kutoa maamuzi na hukataa kuendeshwa endeshwa kama zuzu(ana msimamo).

Dr Mashinji ni mtu mwenye upeo na huwa anaona mbali. Pia yuko creative na anaweza kuja na wazo ambao likaleta sense of originality na la maendeleo.

Bwana huyu hupenda sana kusoma vitabu na kwa kweli depth yake of thinking na knowledge ni kubwa sana kuliko viongozi wengi tulio nao. Ladha yake ya kimombo (English) na Kiswahili, utaipenda na ina mvuto fulani. Ni mtendaji na mfatiliaji mzuri na pia ni mwanamkakati haswa.

Weakness

Kila mtu hata akiwa na mazuri mangapi huwa hakosi mapungufu. Kama mnavowajua watu wa kule ziwani, Dr Mashinji naye ana chembe fulani ya kujiona na kadharau kidogo.

Hata hivyo huyu bwana huwa ni mwepesi wa kujitambua akidhani amekufanyia hivyo na baadae kujirudi. Ana marafiki wengi (washikaji) ni vema awe makini wakati huu wa uongozi.

Mwisho

Ninavyomjua Dr Mashinji, kwa caliber yake ya fikra, creativeness, knowledge, thinking, originality na kuona mbali, CHADEMA imepata kijana sahihi na Mungu amwongoze na kumlinda.
Ninamhafamu Mashinji... hizi ni sifa zake

Kuna kitu mmeacha, he mix well with anyone na ni mjasiriamali mzuri na pia anafahamu vizuri mahitaji ya jamii hasa through his involvement na vita dhidi ya ukimwi na TB
 
,,yes magalemwa, janjaweed...na wengine...asante.... Lengo ni kueleza ukweli na siyo kuchafua watu kwa uongo
 
Ninamhafamu Mashinji... hizi ni sifa zake

Kuna kitu mmeacha, he mix well with anyone na ni mjasiriamali mzuri na pia anafahamu vizuri mahitaji ya jamii hasa through his involvement na vita dhidi ya ukimwi na TB
SIO WOTE WENYE UKIMWI NA TB, KUWA NA INVOLVEMENT SEKTA HIZO ANAKUTANA NA WACHACHE SANA.
 
Aisee..!!Kumbe MUHAS hakumaliza Kozi ya usingizi! Akitaka kutibu tena anaanza Kama Yule alimaliza interns!Umri wa uanachama wake Chadema hauzidi 3 years unamfananisha vipi Dr Slaa?Hivi Kosa Kama hili CCM wanaweza kulifanya kweli?period
kinana amesomea kuuwa tembo tu, hana digrii nyingine
 
Back
Top Bottom