Kwa kuanzia, naomba kushare application inayoitwa "Pocket". Hii inakuwezesha kuhifadhi makala unazopata online na ukazisoma baadae hata ukiwa offline. App hii pia unaweza kuidownload kwenye PC yako na kuisynchronize na simu na itakuwezesha ku-save makala unazobrowse kwa PC direct kuja kwenye simu. Mfano, umefungua Makala fulani kwenye mtandao kwa kupitia computer, unaweza kusave to pocket na muda huohuo ukaikuta makala hiyo kwenye pocket app iliyopo kwenye simu yako imehifadhiwa na kusomeka hata ukiwa offline kwenye simu.