innocent j
Member
- Jan 17, 2012
- 58
- 9
- Thread starter
-
- #21
thats why am telling u am doubting even what will they do tofauti na ccm, hata hilo la kushika nchi halijashika kiivyo bado watu wengi tu ninaowajua ambao hawana imani na cdm. sasa wanaanza kujichafua na propaganda za ajabu kabisaMkuu, kuhusu lengo la kushika Ikulu, sioni kitakachowazuia 2015. Cha kujiuliza ni kuwa watakapokuwa huko tutapata tunachotarajia toka kwao? Kasi yao inaanza kututia mashaka. Walitusomea orodha ya mafisadi pale Mwembeyanga, na matumaini yetu ilikuwa mafisadi hao wafikishwe mbele ya haki kujibu tuhuma zao za ufisadi, badala yake leo hii tunaambiwa baadhi ya haohao mafisadi wanaambiwa wavue gamba wavae gwanda, what does this mean?
Mkuu, kuhusu lengo la kushika Ikulu, sioni kitakachowazuia 2015. Cha kujiuliza ni kuwa watakapokuwa huko tutapata tunachotarajia toka kwao? Kasi yao inaanza kututia mashaka. Walitusomea orodha ya mafisadi pale Mwembeyanga, na matumaini yetu ilikuwa mafisadi hao wafikishwe mbele ya haki kujibu tuhuma zao za ufisadi, badala yake leo hii tunaambiwa baadhi ya haohao mafisadi wanaambiwa wavue gamba wavae gwanda, what does this mean?
By the look jinsi CHADEDMA wanavyoendelea na siasa hizi zilizozidi propaganda itawachukua mda sana kufika wanapohitaji.
Unapohubiri usafi halafu mtu anajivua gamba na hapo hapo anakuwa kamanda mlitakiwa muangalie kwa sababu hao wanaovua gamba hata kwa mfano halisi wa nyoka akisha vua gamba ana rest kwa mda basi wangefanya pale wanapomvua gamba mtu wampe training ili aendane nao.
CCM wana matatizo ndio kama ambavyo chama chochote kilivyo na matatizo ila kwa hii spidi ya CHADEDMA ina weza isisave their purpose ya ku lead hii nchii
WASSIRA. M4C INAWEZA KUWA NA MAANA NYINGI HATA MOVEMENT INAWEZA KUWA YA KURUDI NYUMA SIO TUU KWENDA MBELE.
M4C maana yake Movement4Chaga kuendeleza Chaga Demontrations Movement, sasa watu waischokielewa ni nini?