The reason why poor stay poor

Malizia kabisa ".....wataendelea kuwa masikini milele."

Ulipata kazi?😅😅
 
Ameshakuwa tajiri, huoni anavyotusema sisi masikini.
 
Hiyo picha imenikumbuka mbali, kulikuwa na Mwalimu mmoja, alikuwa na itikadi kali sana ya Ukomonisti/Ujamaa. 😁

Ulikuwa ukimuuliza ubaya wa ubepari, atakwambia " Upebari ni mfumo ambao mbwa mkubwa mwenye chakula kingi, anakula na kutegemea chakula kidogo cha mbwa wadogo". 😁
 
Nimeshiba ugali Tembele uko na maono yako.!

Hakuna masikini duniani anashiba, ukishiba wewe ni Don

Utajiri ni kuongeza ufanisi usio na ulazima unakulazimu kuwa na wengi wa kuwamudu

Kwa ufupi Unaoitwa Utajiri au ukwasi ni ugonjwa wa Hofu ya njaa ya mda mrefu ya vizazi
 
😆 Big dog
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…