Ronaldo ana magoli 39 siyo 38.
Messi ni mashine ingine bana!huenda akawa amemzidi maradona kwa ubora!
Acha kukurupuka,hiyo niliyokupa source yake ni skysports!nipe source yako
messi na ronaldo wote ni wazuri sana hatuwezi kusema nani zaidi ya mwenzake kwani kila mmoja kuna kitu anamzidi mwenzie