MeNaco.com
Member
- Sep 1, 2011
- 94
- 4
Hello wana jamvi,
Naomba kuuliza jambo ambalo linanisumbua sana moyoni.
1. Hivi kwanini watu huumizwa kwenye mapenzi?
2. Why people leave their true lovers for temporary ones?
Je ni kweli watu huwa wanasahau walikoanzia mahusiano?
Haya maswali yamenifanya kuandika hiyo heading kwasababu naona watu wengi huachana kwa kuumizana huku muumizaji akijigamba kuwa hata kumbuka chochote nyuma. Ila muda mfupi mbele anarudi analia.
Je ni kweli uwepo hauonekani mpaka upotee?