The Popobawa in Zanzibar


Unataka waandamane waanze kuvunja makanisa???
 
nonsense,popobawa,zimwi,ndondocha,msukule nk ni mambo ya kufikirika tu na hayana ukweli wowote,tusipotezeane muda wandugu.
 
Hizi habari hizi bhana??? Haya bhana..Wazenj kazi mnayo....hivi akija huyo popobawa. anadeal na Zanzibar tu? Kama ni zenji tuu basi wahusika washazoea ndo maana haliendi kwingine...LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…