Oooh panavutia nimetamani kwenda huko.Ni wapi huko?
Mbinguni kwa mbele kidogo... ili ufike inabidi u R.I.P
Oooh panavutia nimetamani kwenda huko.Ni wapi huko?
msituni...
Naomba unipeleke......
chagua siku, mwezi na mwaka...
Tarehe 31/12/2014
ooh yeah...on new year's eve uunh...!!!
Kwa hiyo umekubali nianze kujiandaa?....lol
get ready sweet pie...!!!
Oooh panavutia nimetamani kwenda huko.Ni wapi huko?