duh kweli vidume mna moyo wa chuma...i can't do that hata nipewe nini aisee...!Kuna siku nilikuwa mitaa ya sinza. Nikamuona mdada 25-28yrs anafuta machozi. Its like ana tatizo or smthn. Roho ikaniuma nikamfuata nikamfuta machozi then nikampa pole. Nikamwambia whatever it is will be ok usijali. Nikarudi nilipokuwa nmekaa. After like 10mns hivi akainuka akaja kukaa nilipokuwa. Akaniomba naweza kukaa hapa. Nikamwambia bila shaka usijali. Akanieleza kuwa bf wake amemfumania na demu mwingine. Nikampa pole. Tukapiga story story kidogo then nikamwambia unapendelea nn (katika kupoteza mawazo ya the so called bf) akasema movie. Ilikuwa saa 12 tukachukua bajaj hadi mlimani tukaingia movie. Cha kushangaza akalipa kiingilio. Tukacheki movie ilivyoisha. Akaniuliza napenda nn ili nami nifurahi n iwe kama asante kwa kumpa company wakati ule mgumu. Nikamwambia twende migombani nipate angalau ndovu 2 baridi sana. Tukatembea mpaka brajec. Njiani akawa ananishika mkono. Akasema the way alivyoumia hakutegemea kama atakutana na kijana mstaarabu mwenye huruma n upendo kama mimi. Dah mtu mzima akili ikaruka fasta nikajisemea kaumia lazima nilie shida hapa who knows naweza pata hifadhi kidogo. Tukafika brajec nikaagiza ndovu yeye akaagiza zanzi. Tukapiga round 3. Nikamwambia tumalizie siku. Akasema ngoja afikirie nimpe dk kadhaa. Huku tunatoka njiani akakubali bt akasema kinga muhimu. I was like fine usijali. Tukatafuta ka hotel kazuri maeneo ya mwenge akalipa. Nikanunua vinywaji tukazama room. Shughuli ilikuwa ndefu n tamu sana. Kushtuka saa 11 tukalala kidogo saa 3 tukasepa zetu.
Sijamuona tena hadi wa leo.
One night stand siwezi hata kwa hela aisee, huwa najiuliza mengi ndomana hata mdada awe supa kiasi gani siwezi....!wewe ni 1 in a milion hiyo kitu ni kawaida mkuu ukifikisha umri wa utu uzima kama umekula ujana vizuri lazima itatokea
Kuna siku nilikuwa mitaa ya sinza. Nikamuona mdada 25-28yrs anafuta machozi. Its like ana tatizo or smthn. Roho ikaniuma nikamfuata nikamfuta machozi then nikampa pole. Nikamwambia whatever it is will be ok usijali. Nikarudi nilipokuwa nmekaa. After like 10mns hivi akainuka akaja kukaa nilipokuwa. Akaniomba naweza kukaa hapa. Nikamwambia bila shaka usijali. Akanieleza kuwa bf wake amemfumania na demu mwingine. Nikampa pole. Tukapiga story story kidogo then nikamwambia unapendelea nn (katika kupoteza mawazo ya the so called bf) akasema movie. Ilikuwa saa 12 tukachukua bajaj hadi mlimani tukaingia movie. Cha kushangaza akalipa kiingilio. Tukacheki movie ilivyoisha. Akaniuliza napenda nn ili nami nifurahi n iwe kama asante kwa kumpa company wakati ule mgumu. Nikamwambia twende migombani nipate angalau ndovu 2 baridi sana. Tukatembea mpaka brajec. Njiani akawa ananishika mkono. Akasema the way alivyoumia hakutegemea kama atakutana na kijana mstaarabu mwenye huruma n upendo kama mimi. Dah mtu mzima akili ikaruka fasta nikajisemea kaumia lazima nilie shida hapa who knows naweza pata hifadhi kidogo. Tukafika brajec nikaagiza ndovu yeye akaagiza zanzi. Tukapiga round 3. Nikamwambia tumalizie siku. Akasema ngoja afikirie nimpe dk kadhaa. Huku tunatoka njiani akakubali bt akasema kinga muhimu. I was like fine usijali. Tukatafuta ka hotel kazuri maeneo ya mwenge akalipa. Nikanunua vinywaji tukazama room. Shughuli ilikuwa ndefu n tamu sana. Kushtuka saa 11 tukalala kidogo saa 3 tukasepa zetu.
Sijamuona tena hadi wa leo.
Hayajakukuta tu mkuu.One night stand siwezi hata kwa hela aisee, huwa najiuliza mengi ndomana hata mdada awe supa kiasi gani siwezi....!
duh kweli vidume mna moyo wa chuma...i can't do that hata nipewe nini aisee...!
Katika vitu sijatamani kufanya, na wala sitegemei kufanya ni one night stand.
Nikutane tu na mtu bila hata kumjua nivue boksa ....mmmh!
Its a crays business doing night stand. Personally, i don't recommend doing it
Kushtuka asubuhi kumbe ni ndoto
Hongera sana. Nimependa msimamo wako. Ni wanaume wachache wanauelewa huu.
Kuna watu huwa hawataki kukubali ukweli na kwao kuzungumza ukweli pia ni sumu. Watu hawa huitwa wanafiki. Tabia yao ni kupenda kuonekana wema machoni pa watu.Sio kweli it happens very fast....ni msimamo ambao uko against Theory of #Natural_Selection
Labda anataka kuonekana innocent.
One night stand siwezi hata kwa hela aisee, huwa najiuliza mengi ndomana hata mdada awe supa kiasi gani siwezi....!
Kuna watu huwa hawataki kukubali ukweli na kwao kuzungumza ukweli pia ni sumu. Watu hawa huitwa wanafiki. Tabia yao ni kupenda kuonekana wema machoni pa watu.
wewe mbovu. sio mzima.
Kiiiiruuuuu..... Hivi amjui saivi walio na maambukizi ya kaugonjwa ni wale waliozaliwa na kwa asilimia kubwaa... sasa shauri lenu jiaminisheni huyu ni 18age... kuendelea sasa kamma mtoto alizaliwa na maambukizi miaka ile ya 1990 akawa yuko kwenye kitengo na anasoma vzr for now wadhani utamtambua kwa kumwangalia??? Ugonjwa huu si ule wa zamani wa kupata mapunye,fangax nk huu wa siku hizi ni hbr ingine kabisa.... na uwezi mtambua mtu kwa kumtizama kwa macho!