Mi nakumbuka siku moja nilifahamiana na dada mmoja kwenye gari, tuliposhuka ubungo ilikuwa usiku ikaonekana anakoenda kuna tabu ya usafiri and it was risky. Mwanaume nikapiga sound mi nakaa mitaa ya ubungo akakubali tupumzike ili kesho aondoke mapema. Njiani alinipa masharti kuwa kila mtu chumba chake, na hataki usumbufu, nikajibu poa.
Tulikula kabisa hotelini, hivyo kufika home ilikuwa kuoga tuu na kulala. Baada ya kuoga nikafungulia TV, nikamwuliza anapenda movie za aina gani, nikamwekea. Tukakaa kuangalia, oooh, mara ananiwekea paja mara usingizi. tukaishia kulala chumba changu and it was a nice game ctakaa nisahau.