The Open University of Tanzania

The Open University of Tanzania

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,544
nilikuwa nataka kujua zaidi kuhusu hiki chuo kama sijakosea huwa elimu yake inakuwaje.
huwa ina kuwa ni online au darasani au ni ile unajisomea mnakutana kwenye test tu.
na kama ni hivyo ada zake hasa kwa diploma zinakuwaje saha anikiwa na maana ya gharama kamili kwa mwaka mmoja.
na vigezo vipi vinaweza fanya ukaingia huko au ni umri wowote ule
 
kasome chuo kizuri sana ni msuli wako tu,unatakiwa uwe committed kwelikweli vinginevyo digri utasoma miaka 8
 
Hakuna kuingia darasani unapewa course materials ukajisomee mwenyewe siku ya test unakwenda kufanya. Ila unaweza kupata watu wa course yako mkaunda group kwaajili ya discussion.

Kwa degree ukijitahidi miaka mitatu unamaliza ukiwa mvivu mpaka miaka sita.
 
Chuo kikuu huria ni chuo kizuri sana kwa mtu anayejitambua ila vinginevyo utashindwa kusoma, utafeli hatimaye utakacha kabisa... Kwa diploma sina utaalamu nacho ila kwa degree najua... Mfumo wanaotumia ni wa moodle online ambapo assignments zote na discussions utazikuta huko... 100% ya kufaulu pale ni juhudi zako za kutafuta materials, unaweza kuanza hadi kumaliza usijue hata jina la mkuu wako wa chuo, kikubwa ni kuwa na course outline then kwenye kutafuta materials unatumia hiyo ili usiingie chaka ukajikuta unasoma tango pori, kwenye miaka ni kuanzia 3 hadi 8 yaan unaweza soma degree kwa miaka 8 kama una kichwa panzi ila pia kama ni mashine unaweza soma chini ya miaka mitatu yaan miaka miwili ila hautagraduate hadi miaka mitatu ifike
Yaani suppose kozi yako hadi umalize unatakiwa umalize units 42 Sasa kama unaweza zibeba kwa miaka miwili yaan 20 kwa 22 basi unamaliza miaka miwili tu then mwaka wa tatu wenzako wakiwa wanaumia we unanyoosha miguu then mwaka wa tatu ndio unagraduate... Ni chuo kizuri kama wewe ni kuku wa kienyeji unaweza kujitafutia ila ni kigumu sana kama we ni kuku wa kizungu kutafutiwa chakula
 
Nafikiria nikasome masters ya project management
Yeah umefanya choice nzuri... Project management au monitoring and evaluation zipo vizuri sana, chaguo ni lako ila kwa masters Kuna uwanja mpana zaidi tofauti na bachelor's degree, masters wana executive na wanaingia class vizuri tu... Kuna aina 3 za masters pale so unaangalia mfuko wako ukikuruhusu unapiga ya class usipokuruhusu basi unadili na long distance
 
Chuo kikuu huria ni chuo kizuri sana kwa mtu anayejitambua ila vinginevyo utashindwa kusoma, utafeli hatimaye utakacha kabisa... Kwa diploma sina utaalamu nacho ila kwa degree najua... Mfumo wanaotumia ni wa moodle online ambapo assignments zote na discussions utazikuta huko... 100% ya kufaulu pale ni juhudi zako za kutafuta materials, unaweza kuanza hadi kumaliza usijue hata jina la mkuu wako wa chuo, kikubwa ni kuwa na course outline then kwenye kutafuta materials unatumia hiyo ili usiingie chaka ukajikuta unasoma tango pori, kwenye miaka ni kuanzia 3 hadi 8 yaan unaweza soma degree kwa miaka 8 kama una kichwa panzi ila pia kama ni mashine unaweza soma chini ya miaka mitatu yaan miaka miwili ila hautagraduate hadi miaka mitatu ifike
Yaani suppose kozi yako hadi umalize unatakiwa umalize units 42 Sasa kama unaweza zibeba kwa miaka miwili yaan 20 kwa 22 basi unamaliza miaka miwili tu then mwaka wa tatu wenzako wakiwa wanaumia we unanyoosha miguu then mwaka wa tatu ndio unagraduate... Ni chuo kizuri kama wewe ni kuku wa kienyeji unaweza kujitafutia ila ni kigumu sana kama we ni kuku wa kizungu kutafutiwa chakula
mkuu na ada zao zikoje hasa yani zina fika mpaka kwenye ngapi. umenifurahisha sana. usiingie chaka ukajikuta unasoma tango pori,
 
Umenisaidia sana pa kuanzia
Asante mungu akubaliki japo sio mie niliouliza
 
mkuu na ada zao zikoje hasa yani zina fika mpaka kwenye ngapi. umenifurahisha sana. usiingie chaka ukajikuta unasoma tango pori,
Ada inategemea na programme inaunit ngapi kwa kuwa hailipwi kwa mwaka inalipwa kwa unit ulizosajili kusoma mwkaa husika wa masomo.
Ila makadirio ni
Certificate- 480,000 mpaka 600,000 kutegemea na unit za programme husika
Diploma- 720,000 kwa mwaka
Bachelor- 720,000 kwa mwaka
Masters- 3240,000 kwa miaka 2 yote
PHD- 6040,000
 
Certificate wanaanza lini kupokea maombi
 
Back
Top Bottom