The NWO is up and ready!

Mkuu umesoma content lakini ? Hiyo ni kitu ilikuwa inajulikana tangu zamani sana.Angalia ni 5G band gani na maeneo gani ambayo wameahirisha kuanza kutumia na kwa nini wamefanya hivyo.
Case hii najua ni ya airports,nilikuonyesha tu for your information.
 
Fermi hali where you are in the US ikoje,because this is happening right now in Canada as we speak.

 
Kiongozi hiyo habari siyo ya kweli.Mimi nipo karibu sana na Canada na nina jamaa zangu wengi tu Canada.Kuna wafanyakazi wenzangu wanafanya kazi remotely from canada na tunaongea nao kila siku. Na hicho ulichobandika hapo hakina juu wala chini.
Kiongozi hebu fikiria hii kitu kwa akili ya kawaida tu
Zipo nchi kadhaa zinazotengeneza chanjo ya Covid.Ninazokumbuka haraka haraka ni USA,Germany,United kingdom nimeziweka sehemu moja hizo kisha kuna Russia,Cuba na China.
Hivi unadhani hata siku moja kundi la kwanza litakaa kikao na nchi hizo za kundi la pili kupanga hayo unayoyaamini? Mkuu najua kabisa unafahamu uadui uliopo kati ya USA na Cuba/Russia/China. Naomba ufikirie kwanza kutokea angle hiyo.
 
Thank you Mathazua.
Speak and speak again while it is still possible to do so.
Do not be dissuaded by these blind whitewashed people so called wasomi.

Speak out man.
 
Asante kwa feedback Fermi.So you mean watu wengi USA na Canada wanapenda Covid vaccines na wanaona hazina shida yeyote?Kama the answer is yes,why.Do you think they have been provided with enough and right information for them to be able to make decisions from an informed position au wamefungiwa Mbuzi kwenye gunia.

I hope you know that fear can be used to manipulate the masses to accept something which they wouldn't otherwise accept.In your perspective,has fear been used to make people accept the so called C-19 vaccines?
 
Kiongozi sidhani kama umeelewa point yangu. Naomba usome tena angalia msisitizo niliotoa kwa nchi zinazozalisha hiyo chanjo ambazo hazikai meza moja na western countries.That is my point
 

Mkuu naomba kupata most of your findings hata kwa inbox, sio kila mmoja mwenye macho anaona
Thank you for bandiko zuri
 
You are suffering from Delusional Psychosis,walioko sawa upstairs wananielewa na wanajiandaa psychologically,physically na spiritually.You are like a sheep being sent to the slaughter pad,pole.

Wewe endelea kuuchapa usingizi,wajanja Hawa hapa
Fanya yako utaingia uchizi bure
 
Mkuu,asante kwa madini.
 
Furaha Ya Moyo Tu Inatosha...

Mkuu nina mambo maeili.

1. Mkuu hua unajisema ni muamini wa Mungu, amini huyo aliye mkuu kuliko wote na vyote, anaweza kuyatamatisha au kuyaacha yatokee kwa kusudi lake.

2. Kama umeamua kuelimisha watu amua kusaidia na lugha itakayoeleweka kwa wote. Kaa tulia fanya utafiti, andaa bandiko kwa lugha adhimu ya kitanzania ili walio wengi waelewe na wapate cha kuchangia.
Hata kama ni links unatuma zifafanua kwa muhtasari tu kisha ziweke.

Kuamini ni kuchagua, elimisha tu ila kuamini unachomuelimisha muachie muelimishwaji.

Ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…