The next president of France and his franscinating love story

Viongozi watatu wa Euro zone wanao watoto wa kufikia tu-Theresa May,Angela Merkel na Emmanuel Macron. Very interesting hasa Macron has completely redefined what family is.
 


You have forgotten to mention that she is also the chairperson of France witches.

(Mwenyekiti wa wachawi wa Ufaransa).
 
Bunge Primary kulikua na mwalimu sister do miaka ya ya 80-90, alitesa watoto wakiume. Mwalimu yule alisoma primary Kenya alikua tofauti sana na walimu wengine, wanaomkumbuka.

Nami nimekumbuka Tanga School wakati huo. Mwalimu wa Biology alitupa shida sana. Wakati wa experiments mtu unajitahidi kujisogeza ili mradi ujiguse naye!

Alikuwa na makusudi, hasa anapokaa mbele ya darasa {meza ilikuwa wazi sehemu ya mbele} anaachanisha miguu, anajifanya hana habari. Ilikuwa shida kweli kweli, halafu ukichukulia ilikuwa ni shule ya wavulana tu.
 
"Nakupenda bibi kizeee..nakupenda kikongwee"
Haya aliyaimba Picco Kikongwe kwenye wimbo wa kikongwe..

Bi. Cheka naye eti 'Tembaa' huku anazungusha mdole wake ilhali kasimama juu ya gunia la uchafu.
Anyway, love is love.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…