The New Samsung Galaxy S6; shikamoo Apple!

Rene Jr.

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
3,739
Reaction score
2,410
Hapa lazima tukubali tu kwamba kwenye design Apple wanakwaa barabara wengine wanafuata tu. Hii S6 haihitaji miwani kuona kwamba Samsung wamekopa vitu vingi vya kimuundo kutoka iPhone 6, kumbuka pia wameamua kuondoa slot ya SD Card, pia battery siyo ya kuchomoa tena...yaani kitu kama iPhone tu!

 

Attachments

  • Samsung Galaxy S6 review (34).JPG
    658.1 KB · Views: 2,092

Picha haionekani
 
MASEBUNA nimeweka picha ndogo jaribu tena itafunguka.
 
Last edited by a moderator:
S6 mwisho wa mambo, bonge la design, walichofanana na apple ni hiyo aluminium casting kwa pembeni tu, kwingine kote wanatofautiana... Rangi ya kijani kwenye S6 edge na blue kwenye S6 wamemaliza kazi kabisa, far better than gold..

Apple inabidi tuwaachie wanaospend kununua iWatch $500...
 
Daaah bonge la simu nimeitamani kweli yani.Kwa pesa zetu za madafu hiyo ni sh ngapi mkuu?


Ilikua inauzwa Euro 529 ambazo ni Tsh 1,039,761/=
Saizi wameshusha wanauza Euro 429 ambazo ni sawa na Tsh 843,014/=
ila hiyo ni bei ya samsung wenyewe, mpaka kukufikia wewe hapa Tz inaeza kufika ata M moja tena.
 
Ilikua inauzwa Euro 529 ambazo ni Tsh 1,039,761/=
Saizi wameshusha wanauza Euro 429 ambazo ni sawa na Tsh 843,014/=
ila hiyo ni bei ya samsung wenyewe, mpaka kukufikia wewe hapa Tz inaeza kufika ata M moja tena.

Ai, ai, ai! Haya bwana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…