Kurt godel
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 317
- 174
Jeshi lina hela nyingi tu.Shida watu wanachukulia computer for granted. wanasubiria cku wasikie kuwa kuna Trojan alikuwa kwenye computer ya BOT Ana send reports kwenye foreign economic competitive country ambazo data hzo ndo zinawap advantage ndo akili itashtuka vzuriwakufinance hiyo cyber army ndo tatizo.
Mkuu hapo kwenye magufuli umenigusa! Ina maana wana hack server za whatsapp kupata hizo words??Mi cjui Shida yetu ni nini.Yani watu wanashindwa kuona global events kama za Russia ilivyoishambulia kidigitali ukraine Na ku analyse Na ku conclude kuwa cyberwarfare is a real thing.Watu wako busy Na instagram, facebook just selling their data to the highest bidder bila kutathimi kuwa nini kitatokea kama cku MTU akatumia hzo data kuku force u make a decision against your will.Watu wachache sana wameona umuhimu Wa hili lakini serekali yetu iko busy Na keyword ya magufuli WhatsApp.Hii nchi watu watakuja kulia cku
Mkuu hapo kwenye magufuli umenigusa! Ina maana wana hack server za whatsapp kupata hizo words??
Bdo nitalia kuwa tunahitaji jesh yaan cyber army sio kwaajili ya kushika bunduki bali ni kwaajili ya kushika computer kama silaha yaoBut maybe wanaweza ngoja nipige uchunguzi kwanza nione wanaweza
Kurt godel you're running out of the track bob, Tz plan ni nyingi mnavyofanya speculation zenu nakuconclude kwakutumia assumption ni jambo la hatari sana.
Mnataka waje watangaze existance ya Cyber Army kama anavyotangaza Makonda malaya wa bongo movie ? kuna vitu vingine vinaendelea chini ya maji sio lazima viwekwe wazi, na kwa post zinavyonipa picha ni kwamba tayari Tz imekuwa underrated kitu ambacho sio sahihi, kuna vijana wa Software Eng walichukuliwa UDOM, unajua wapo wapi ? Kuwa mpole man msipende kila kitu kiwekwe kwenye magazeti.
Tz hii activism za anonymous ufanye za nini ? ni sawa na mtu mzima ajisifu kumpiga mtoto, websites ziko vulnerable sana we less care about security.