kama mchina ni raia halali kwa nini asijiandikishe? Wako raia wengi wa Tanzania wenye rangi nyingine zaidi ya nyeusi. That's besides the point. Point ni kwa nini kuna wahamiaji HARAMU kutoka Rwanda kwenda nchi nyingine but never wahamiaji HARAMU kutoka nchi nyingine kwenda Rwanda? Hilo swali ni gumu sana kwetu sisi tunaoambiwa Rwanda kuna hali nzuri ya maisha kuliko bongo. Tunaomba utusaidie hilo.
Mbona hueleweki mara raia mara wahamiaji haramu!
Hilo swali la kwanini nyie warwanda mnakuwa wahamiaji haramu kwenye nchi zingine inabidi ulijibu mwenyewe, ila mie nikuambie tu kuna jamaa angu ni mhamiaji haramu rwanda na kilichompeleka rwanda ni ndondo, kapiga ndondo uganda na sasa yuko rwanda
hahaaha. HAKUNA mtanzania yoyote mhamiaji haramu nchini kwenu labda awe certified chizi!
We interahamwe unajielewa kweli! Mtanzania awe mhamiaji haramu kwenye nchi yake?! Nakushauri ukapime ujauzito kwanza afu urudi hapa
hahaaha. HAKUNA mtanzania yoyote mhamiaji haramu nchini kwenu labda awe certified chizi!
RUDIA TENA KUSOMA NILICHOANDIKA:
Hivi mimi na wewe nani mwenye tatizo la kuelewa sentensi hiyo? Nyie interahamwe mna matatizo sana ya uelewa. Halafu pili, ujauzito sio tusi, bila ujauzito wewe usingezaliwa, acha kudhalilisha wanawake.
Unajichekesha chekesha nini sasa, wewe interahamwe ndo unatatizo la kuelewa sentensi,
Nani kakuambia ujauzito ni tusi?! Au una unajishtukia na kaujauzito kako kachanga.
Hivi kukushauri ukapime kaujauzito kako hako ujue kanaendeleaje ndo kuwadhalilisha nyie wanawake! Duh! Noumer kweli!
Ebu wapikie interahamwe wenzako wanakaribia kurudi toka mapiganoni.

Nimeshinda mashindano gani? Na refa alikuwa nan?Ndugu tufanye umeshinda, whatever your argument was or is, you win.
Nimeshinda mashindano gani? Na refa alikuwa nan?
Acheni kuitana interahamwe.
Mashindano ya matusi