The most beautiful road in china

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
A new highway in Hubei Province, which opened to traffic on Sunday, is being hailed online as the most beautiful road in China. Around 4.4 kilometers of the 10.9-kilometer-long Guzhao Highway is built over water.
​
The local government spent nearly 440 million yuan (around 70 million US dollars) to build the highway, to connect remote villages with the outside world without damaging the natural environment, Chinanews reports.









 
Bavaria hii iko kijijini kwangu bana Hungumalwa ukipita utaiona :A S 20::A S 20:
Dah sijui ni lini na sisi tutafikia huko aise angalau kuwa na barabara za uhakika
 
Last edited by a moderator:
Wanahifadhi mzingira.

Mkuu Bavaria kwa wenzetu hakuna ujenzi ambao unafanyika bila kufanya assessment ya pollution. Kwenye hiyo barabara kama gari lako likitoa moshi unaweza kufungwa sana. Hapo mtoni kuna viumbe wanaoweza kudhuriwa na moshi wa magari.
 
Last edited by a moderator:
Bavaria hii iko kijijini kwangu bana Hungumalwa ukipita utaiona :A S 20::A S 20:
Dah sijui ni lini na sisi tutafikia huko aise angalau kuwa na barabara za uhakika

mkuu nataka kuja kuwekeza hapo mjini hungumalwa,garage ya baiskeli,vipi oppotunity hapo?
 
Last edited by a moderator:
mkuu nataka kuja kuwekeza hapo mjini hungumalwa,garage ya baiskeli,vipi oppotunity hapo?


Karibu sana maana huo ni usafiri wetu na ziko nyingi sana
na sio garage peke yake hata kuuza tairi na baiskeli zenyewe
 
Bavaria hii iko kijijini kwangu bana Hungumalwa ukipita utaiona :A S 20::A S 20:
Dah sijui ni lini na sisi tutafikia huko aise angalau kuwa na barabara za uhakika

Umeona gharama ya kujenga hiyo barabara ilivyo ndogo?
Ingekuwa tanzania ingekuwa mara 10 zaidi.
 
Mkuu Bavaria kwa wenzetu hakuna ujenzi ambao unafanyika bila kufanya assessment ya pollution. Kwenye hiyo barabara kama gari lako likitoa moshi unaweza kufungwa sana. Hapo mtoni kuna viumbe wanaoweza kudhuriwa na moshi wa magari.

Ni kweli mkuu.
 
kuna msukuma anajisifia amejenga bara bara nae.

angekuwa huko angenyongwa kwa lile shimo barabaran lililosababisha ajali ya majinja
 
Umeona gharama ya kujenga hiyo barabara ilivyo ndogo?
Ingekuwa tanzania ingekuwa mara 10 zaidi.


Mkuu Bavaria yaani gharama zake zingekuwa juu vibaya sana maana ten percent ingewahusu sana hawa jamaa
Gharama ni kidogo sana na sijui tunashindwa nini maana barabara zetu zinajengwa hata hazijamaliza mwaka zishaanza kubomoka
 
Last edited by a moderator:
ingekuwa Magufuli na sisiem wangekuwa bado wapo kwenye UPEMBUZI YAKINIFU.....!! miaka 10...ubungo na tazara ni upembuzi yakinifu tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu..........!!
 
Najaribu kuvuta picha, ingekuwaje katika eneo kama hilo kama na wao wangekuwa wanatengeneza kwa kiwango cha barabara za magufuri zinazoharibika hata kabla ujenzi haujakamilika.

Lazima watu wangeogelea mtoni na magari yao!
 
ingekuwa Magufuli na sisiem wangekuwa bado wapo kwenye UPEMBUZI YAKINIFU.....!! miaka 10...ubungo na tazara ni upembuzi yakinifu tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu..........!!

Majinga sana haya majamaa, yanajua hatuna uwezo wa kuyakata makofi ndo maana yanafanya yatakavyo
 
Mkuu Bavaria kwa wenzetu hakuna ujenzi ambao unafanyika bila kufanya assessment ya pollution. Kwenye hiyo barabara kama gari lako likitoa moshi unaweza kufungwa sana. Hapo mtoni kuna viumbe wanaoweza kudhuriwa na moshi wa magari.

Mkuu bowlibo nilivyomuelewa Bavaria hapo alikua anamaanisha kuhifadhi mazingira kwa kutotengeneza barabara huko nchi kavu, but to me naona ilikua vigumu kwao kuchonga barabara kwenye huo mwamba nchi kavu na hiyo ya majini wameitengeneza ki rahisi zaidi, kama ingekuwa kuhifadhi mazingira hata huko majini wame disturb mazingira pia!
 

Too sensible, nadhani umepatia kuliko mimi

cc Bavaria
unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…