Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
what is so special kuhusu hicho kisiwa....????.......ni ushuru wa wavuvi wadogowadogo(maana hapo ndo hasa mgogoro ulipoanza kukua)......au kuna kingine..........nani kati ya kenya na uganda amekiendeleza hicho kisiwa hadi wafikie kutishiana KIJESHI...... I think hakuna kitu ambacho diplomacy ikitumika vizuri itashindikana.........MPs wa kenya waache kukurupuka(the other day wakati wa kikao kinachoendelea sa hivi cha bunge la kenya kuna mbunge mmama alisimama na kumtukana museveni hadi akalazimishwa na spika kufuta kauli yake....kweli hao ni mad Jaluos)
I MAKE LUV, NOT WAR.. Diplomacy is the best option, kama wangoja fireworks, you will have to wait for the diwali festivals my brother.
Ijumaa leo shekhe, hamna cha kuongea vibaya wala nini, nikutubu madhambi yangu na kumuomba Yarabi msamaha, na azidi kubariki nchi zote za Africa Mashariki.... ameen.
Unafiki mtupu,kwa vile leo ijumaaa basi unaaamua kwamba hutaongea vibaya lakini kuanzia kesho ni business as usual.
At least umeongea kuhusu diplomacy ambayo Mps wako wanaona ni vocabulary or anasa.Nenda ukagombee ubunge,just go and replace those ignorant Mps my friend.all da best!
Nimeamua kuwa polite from now henceforth, It has nothin to do with today being an Ijumaa, I have noticed that I can take different angles on a topic without necessarily coming out as being biased, or rude. I never inended to come out as rude but that is the way am used to communicating, using cursewords and all, and I hope you will all understand and forgive me.
Regards,
SMATTA.
hongera kwa ushindi, lakini mkwara mliupata kwa mzee m7. heshima mbele kwake nafikiri. hebu kaeni kwa amani sasa.