Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 723
- 768
Kati ya game nyepesi kabisa kwa city ni hii ya leo Klop atapoteana hujawahi kuona.Na ndio itakuwa mistake ya kwanza ,jack hawezi kuforce kwenda mbele ,kurudi nyuma kumsaidia cancelo inakuwa ngumu .... tegemea Liverpool wakiingia na high energy,pressing kalii Sasa jack anavopozaga mashambulizi unategemea Nini .....
Game ya Liverpool Leo ni Kama final ,baada ya kufungwa na arsenal,watakuwa hali mbaya zaidi Kama watapoteza game Leo ,hivyo basi usitegemee game nyepesi kabisa ...
Pale anfield ni pagumu ,Mara ya mwisho kushinda ni 4-1 na palikuwa hapana mashabiki kipindi Cha corona ...
Hii game Mimi naiona draw kabisa .....Kama tukishinda itakuwa bonus ,Kama unafuatilia game za Liverpool vs man city toka pep atue na klopp ,nitakushangaa sana ukiwa underrate Liverpool....
Kati ya game nyepesi kabisa kwa city ni hii ya leo Klop atapoteana hujawahi kuona.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Wee jamaa bhana...sa kwa kikosi kipi, ichi ichi cha Milner, Elliot, Gomez na yule Flop Van Dyik ndo amsimamishe haaland kwel mkuu?...are you serious??We will beat you at Anfield
Hatujali mna Haaland wala nani
Majogoo wanashinda
Dawa yako iko kipindi iko kipindi cha pili lazima uchezee ugonjwa ulonao niwa kufa wala huponi ndugu.Matumaini hewa
Nakupiga kama mtoto
EheeeeKwa kikosi kile Cha Liverpool kudadekiii tusipowafunga basii hatutakuja kuwafunga Tena
EwaaaaKuku anajitahidi kukwepa kwepa ila lazima achinjwe tu kwa vyovyote vile hachomoki
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Huo ndo mpira babu, najua umejifunza. siku nyingine utaongea kwa step[emoji16] usijiamin sanaWee jamaa bhana...sa kwa kikosi kipi, ichi ichi cha Milner, Elliot, Gomez na yule Flop Van Dyik ndo amsimamishe haaland kwel mkuu?...are you serious??
View attachment 2389184
TumewakomeshaDaah liva wametukaangà
🤣🤣🤣🤣🤣Eti wanamwita jini,jini mbele ya Liverpool ni uchuroWe will beat you at Anfield
Hatujali mna Haaland wala nani
Majogoo wanashinda
Mlikua mle tatu wajinga nyieKwa kikosi kile Cha Liverpool kudadekiii tusipowafunga basii hatutakuja kuwafunga Tena
Nyie Liverpool hamuwawezi.Kwa kikosi kile Cha Liverpool kudadekiii tusipowafunga basii hatutakuja kuwafunga Tena