Kuna mwenzio alisema jumapili kuwa Chelsea ikimfunga Man City atatembea Kabang nje kuanzia Posta hadi Ubungo hadi hivi sasa kafika Jangwani anaomba mvua inyeshe. Teh teh teh...
Kuna mwenzio alisema jumapili kuwa Chelsea ikimfunga Man City atatembea Kabang nje kuanzia Posta hadi Ubungo hadi hivi sasa kafika Jangwani anaomba mvua inyeshe. Teh teh teh...
Kuna wachezaji wazuri tu city inawadumaza, Rodwell, Milner, Richards, Scott Sinclair, Lescott (who is more of a defender than both Nastazic and Demichellis), hawa wote wangekua wanapata playing time sidhan kama jana midfield yao ingekua outplayed na Chelsea
He doesn't seem to favour English players.
Manchester City: FA Cup Champions 2011
Kamanda, wewe vipi tena aisee?...Taifa kubwa ni kule darajani mazee....lol!...:wave:.... Ab-Titchaz kamanda wangu, umeshabikia team gani jana?
Kamanda, wewe vipi tena aisee?...Taifa kubwa ni kule darajani mazee....lol!...:wave:
Hawa Man-C ni washkaji zangu wa long time tu.
Jamani tumekubali mmetufunga tuacheni basi tupumzike.mweeee kagoli kamoja masimango hivi je mngetugegeda 7 si ingekuwa hatareee
itabidi kwenye fa nikugonge kwanza ili ujue kwamba sikubali kupoteza nyumbani gemu kibao..
Rafiki yng Angalia ratiba ilivyokaa ndio uongee ndugu yng!
ukishazoea kubebwa basi unafikiri kila mtu anabebwa ndio shida..huyo ni mwehu!
Ila man shity kusema kweli wanabebwa na marefa na jana ilidhihirika ktk kadi ya nastasic ilibidi apigwe nyekundu kwani alikuwa ni mtu wa mwisho,
hadi mou alilalamika sana,kwani Koscenly alipigwa red kama ile dhidi ya crystl palac 1st round alimpush kdg chamakh ila nastasic alibembea kabisa ktk jezi ya mwenzake duh
kwakweli mumefika hapo mlipo kwa udhaifu wa marefa,
mechi ya newcstl na liverpulu zote mlistahili kichapo
dk 66 nor 0 - 0 city