Ndio uhalisia mkuu, wacha turudi msimu unaokuja, tuna ubingwa wa dunia wa kutetea pia mwezi juni.Yaani dah! city ya kuwa trophyless nasikitika sana as a city fan bado siamini haya mambo ni ya kina nyumbu.
Itachukua muda mrefu kumpata KDB mwingine. Exceptional Belgian talent!Leo wachezaji ni kama wanampambania KDB.
Atleast tulipiga nyumbu tukapata community shield.Ndio uhalisia mkuu, wacha turudi msimu unaokuja, tuna ubingwa wa dunia wa kutetea pia mwezi juni.