Hahahaha nimekubaliMnamo mwaka 2013 KDB alikuwa Weder Bremen kwa mkopo akitokea Chelsea.
Ilikuwa ni weekend moja ampapo Weder Bremen walikuwa na kipute didhi ya Bayer Liverkusen,baada ya mchezo kumalizika nyota huyo alipost picha yake kwenye ukurasa wa tweeter huku akiwashukuru mashabiki wa Weder Bremen kwa sapoti yao siku hiyo.
Wakati huo KDB hakuwa na wafuasi wengi tweeter hivyo hata likes na Comments hazikuwa nyingi.
Post ile ilipata Likes na Comment kadhaa na miongoni mwa watu walio-Like ile post ni mwana dada Michele Lacroix.
Kwa bahati nzuri KDB aliona ile Like na kuamua ku-view profile ya huyo mwana dada Michele Lacroix.
KDB alivutiwa sana na Michele Lacroix,mpaka akatamani kumtumia ujumbe DM ili apate mawasiliano yake...lakini kwakuwa ni mtu maarufu alishindwa kufanya vile huku akihofia ujumbe wake kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kuchafuliwa.
KDB aliamuwa kuomba Ushauri kwa rafiki yake jinsi ya kumpata mwana dada Michele Lacroix,kwani tayari alikuwa kwenye hisia kali na mrembo huyo.
Rafiki yake alishika Simu ya KDB na kum-DM Michele Lacroix....kwa bahati nzuri mwana dada huyu alijibu na kutuma mawasiliano yake na ndo pale mazungumzo yalianza rasmi baina ya KDB na Mrembo huyo.
Mnamo mwaka 2017 KDB na Michele walifunga ndoa na mpaka sasa wawili hao wamezaa watoto watatu mmoja wa kike na wawili wa kiume.
Nb: Siku zote KDB ni mtu wa kutoa assist kwa wengine lakini alipo muhitaji Michele Lacroix alihitaji assist kutoka kwa rafiki yake kipenzi [emoji3]
View attachment 2783707
Jipumbaze hivyo hivyoKumbe na nyinyi matakataka mna uzi wenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28] sasa nyinyi mnautofauti gani na Aston villa
Sijawai kujua kwamba nyinyi SHIT fc mnauzi wenu humuJipumbaze hivyo hivyo
Ebu tuonyeshe City inapofanana na Villa
HeeSijawai kujua kwamba nyinyi SHIT fc mnauzi wenu humu
Ishu siyo kuhitaji assist. Hiyo ishu ya KDB huku kwetu vijana wanaiita domo zege.Mnamo mwaka 2013 KDB alikuwa Weder Bremen kwa mkopo akitokea Chelsea.
Ilikuwa ni weekend moja ampapo Weder Bremen walikuwa na kipute didhi ya Bayer Liverkusen,baada ya mchezo kumalizika nyota huyo alipost picha yake kwenye ukurasa wa tweeter huku akiwashukuru mashabiki wa Weder Bremen kwa sapoti yao siku hiyo.
Wakati huo KDB hakuwa na wafuasi wengi tweeter hivyo hata likes na Comments hazikuwa nyingi.
Post ile ilipata Likes na Comment kadhaa na miongoni mwa watu walio-Like ile post ni mwana dada Michele Lacroix.
Kwa bahati nzuri KDB aliona ile Like na kuamua ku-view profile ya huyo mwana dada Michele Lacroix.
KDB alivutiwa sana na Michele Lacroix,mpaka akatamani kumtumia ujumbe DM ili apate mawasiliano yake...lakini kwakuwa ni mtu maarufu alishindwa kufanya vile huku akihofia ujumbe wake kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kuchafuliwa.
KDB aliamuwa kuomba Ushauri kwa rafiki yake jinsi ya kumpata mwana dada Michele Lacroix,kwani tayari alikuwa kwenye hisia kali na mrembo huyo.
Rafiki yake alishika Simu ya KDB na kum-DM Michele Lacroix....kwa bahati nzuri mwana dada huyu alijibu na kutuma mawasiliano yake na ndo pale mazungumzo yalianza rasmi baina ya KDB na Mrembo huyo.
Mnamo mwaka 2017 KDB na Michele walifunga ndoa na mpaka sasa wawili hao wamezaa watoto watatu mmoja wa kike na wawili wa kiume.
Nb: Siku zote KDB ni mtu wa kutoa assist kwa wengine lakini alipo muhitaji Michele Lacroix alihitaji assist kutoka kwa rafiki yake kipenzi [emoji3]
View attachment 2783707
Nyie si vijana WA hivyo ,mnafikili muda wote uhuni ndio ujanja[emoji23]Ishu siyo kuhitaji assist. Hiyo ishu ya KDB huku kwetu vijana wanaiita domo zege.
😂😂😂 siyo hivyo mkuu. Huenda KDB alikuwa busy sana kuimarisha skills za uwanjani lakini hakuwa na muda wa kuimarisha social skills, kama kuongea na watoto wazuri. Si unajua hata kwenye vipaji mtu hapewi vyote?Nyie si vijana WA hivyo ,mnafikili muda wote uhuni ndio ujanja[emoji23]
Stop coiling around with stupid utterances,a goal is just a goalThese bottle jobs are celebrating off a deflected strike as if they have won the title its hilarious. Calm down its still october with 30 games yet to be played.
I know its a goal. But it's important to point out that both Trosard and Martinelli goals were deflected strikes.Stop coiling around with stupid utterances,a goal is just a goal
We are ready ..View attachment 2787098
I know its a goal. But it's important to point out that both Trosard and Martinelli goals were deflected strikes.
I do not discredit the efforts but y'all Arsenal fans are noisy.
Although I get it since you were underdogs and receiving 12 consecutive defeats brings mixed feelings innit.
We can't loose 3 consecutive game bro ,the lost against Arsenal both player and pep were sad , means our team are ready to fight like hell to get three point in upcoming game ...expect more energy , tactics and desire against Brighton,staff ,players ,and coacher are ready to fight ....You're yet to loose another 2 games,vs Brighton & Manchester United
We all know Arsenal's script stays in form at the beginning of the season then crumble at the end. Its written in the stars.You're yet to loose another 2 games,vs Brighton & Manchester United
You all don't know one thing. Arsenal ya last season ni tofauti kabisa na hii.We all know Arsenal's script stays in form at the beginning of the season then crumble at the end. Its written in the stars.
Enjoy while it lasts this is your time. Tukutane May pale tukianza kupiga show za kibabe za unbeaten runs.
Hii kauli naisikia kila msimu lakini ikifika May all I hear are cries.Arsenal ya last season ni tofauti kabisa na hii.