Ndio mechi yake ya 5 msimu huu kacheza kama attacking midfielder, ana vingi vya kuimprove na muda bado anao ngoja tuone kufikia msimu ujao.Kwa hiyo Alvarez anataka kuwa attacking midifilder?....sidhan kama pep Kwa hili ataweza ....
Mim naona Bado hawezi kuimudu hio position ....
Ukiangalia movement za Alvarez akiwa na mpira katikati ya msitu ,utaona anavotumia nguvu nyingi kucontrol mpira ,tofauti na kdb .....
Jana Kuna muda Hadi walimkwatua kiatu nahisi aliumia ,sababu ya kuhold mpira Kwa sekunde kadhaa kutaka kupiga pass , attacking midifilder lazima uwe mnyumbulifu , quick action taker ,akili ifanye kazi chap kuliko mwili .......labda huko mbeleni ataweza .....
Sijui Kwann pep hamwamin orteg ,lakin huyu jamaa anajua kulinda goli ,kiufupi akikaa golin ni kama alison ,ni stoper mzuri Sana ,....japo Kuna muda namuona anaiga movement za ederson ,kusimama na mpira Sana kusogea mbele kutafuta mtu wa kumpigia ....ederson anaweza kukaa na mpira hata second 7 ,watu wamesimama tu wanasubili apige [emoji23]
Hiki kitu nilikua nakisema humu, Phillips apewe muda tu anaweza kuja kuclick kwenye mfumo tukaanzaa kujivunia matunda ya uvumilivu.Kelvin Phillips next season atakuwa mkombozi wetu ,subili muone ...
Rodri huu msimu Yuko fire,but haimanishi next season atakuwa hivo hivo ,kama vile foden ,Mahrez wakati wanakiwasha hakuna mtu angetegemea grealish angekuwa regula starter wakati Bado wapo .....
So next season tegemea kumuona kalvin Phillips wa Leeds ....pep atampa nafasi ...
Lete maneno.Active nakuona mkuuu
Bora hata ume replyLete maneno.
Kwa uwekezaji waliofanya kwa muda mrefu wanastahili kupata matunda mazuri. Ni wakati wao sasa.Bora hata ume reply
unaonaje Manchester city kubeba treble msimu huu mkuuuu we shabiki wa chelseaaaaaa ππππππππ nakuonea huruma sana mkuu
Unachekesha sana kwani nyie chelsea mbona mme spend 300M$ na mnafanya pumba tu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π΅π΅π΅π΅π΅π΅π΅ Hamjielewi kwa kweli wakuuuu sijui kwann ila your very dumb aseeee Chelsea to the pitKwa uwekezaji waliofanya kwa muda mrefu wanastahili kupata matunda mazuri. Ni wakati wao sasa.
Perrone bado sana kufikia level ya kuwa hata back up tu, anahitaji kukomaa zaidi mentally and physically.Kuna maximo perone, huyu inabidi tumuangalie kwenye preseason huenda kukawa hakuna haja ya back up DM mwingine.
Mods kumbe nao ni wa kawaida tu kama members wengineLete maneno.
City ikichukua UEFA champions league Haaland atabeba balloon d'orKevin De Bruyne and Erling Haaland are among the nominees for the April player of the month award.
Guys hakuna namna mkatusaidia kuedit first page ya huu uzi?Lete maneno.
Mbona kavaa kihunihuni utadhani jambaz. Ndo maana aligongewa na kumnyang'anywa demu na kipa wa Madrid. Ana kinyongo naye hadi leo.Mpishi yupo mapunziko akitoka huko Madrid wataisoma namba
Na haaland ajiandae kupiga hattrick
View attachment 2609218View attachment 2609219View attachment 2609220
Very likelyCity ikichukua UEFA champions league Haaland atabeba balloon d'or
Msajilini tena Nasri , Aguero na Balloteli mbebe mataji zaidi ππππππVery likely
Hao wameshaplay part yao wamemaliza japo walifeli kutupatia uefa cup.Msajilini tena Nasri , Aguero na Balloteli mbebe mataji zaidi ππππππ