Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,003
- 31,804
Leo natama nyuma stone asiwepo kabisaLiverpool mechi ya kwanza walitufunga sababu ya kukosekana utulivu pale nyuma, Akanji ile game alikua hana confidence kabisa, alikua anafanya makosa mara kwa mara.
Kumkosa Foden leo ni pengo kubwa sababu style yake ya uchezaji inafaa kabisa kucheza na mtu kama Alvarez (ana uwezekano mkubwa wa kuanza).
Alvarez leo hawezi kufanya physical battle na Van Dijk ama Konate hivyo tutegemee kumuona akishuka chini kuja kufanya link up na midfield na kutengeneza nafasi kwa ajili ya mawinga kushambulia.
Hii ingefanya kazi vizuri zaidi kama tungekuwa na winga ambaye yuko direct anayeingia ndani ya box kwenda ku exploit space Kama Foden.
Mahrez na Grealish huwa wanacheza pembeni tu muda mwingi.
Hiki kikosi sijakielewa kabisa.Leo natama nyuma stone asiwepo kabisa
Lapote akanji walker na lews na katikati lodri benardo de brn pembeni awepo mahalez na mwingne awepo gudgan mbele asimame alvares hii gemu mapema tunashinda
Nategemea kikosi cha namna hii.Leo natama nyuma stone asiwepo kabisa
Lapote akanji walker na lews na katikati lodri benardo de brn pembeni awepo mahalez na mwingne awepo gudgan mbele asimame alvares hii gemu mapema tunashinda
pep asifanye huu uboya, bado kuna mechi nyingi ngum sasa unaanzaje kumrisk haaland wakati una alvarez yuko fiti?Kuna uwezekano wa pep kumrisk haaland leo.
Mchezaji pekee ambaye Pep kathibitisha kutokuwepo leo ni Phil Foden.
Bernado hajaanza.Liverpool wanatumia trick ya false no.9.
Gakpo anakua anashuka kutengeneza nafasi kwa salah na nunez, kumuacha mtu kama huyo azunguke free itatugharimu.
Tunahitaji mtu wa kuwa anampress cody gakpo na hapo ndipo ninapokuja kuuona umuhimu wa Portuguese pressing machine, bernado silva.
Mechi ya leo bernado anaweza kuwa decisive pale kati kama ataanza.
Let's go ..
Man city 3-1 Liverpool
MtanyookaNaona nzi wameanza kujaa hum