The king is back "Messi"

island

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
1,065
Reaction score
837
huku Barca ikishinda goli saba bila , king wa ukweli kapiga hat trick na kuvunja record na kuweka record mpya kama mfungaji bora wa barca wa muda wote kwa kutupia jumla ya migoli 371 akimpita aliyekuwa anashikilia record hiyo paulinho alcantara (369), record hiyo imedumu kwa takriban miaka tisini mpaka ilipovunjwa na la pulga na kuweka record mpya...

Kwa sasa ana deni la magoli manne tu nyuma ya mfungaji wa mda wote wa uefa champion league, raul , raul 71, messi 67 .. Ikitokea akaongeza goli nne na zaidi atakuwa ameweka record mpya katika michuano hiyo mikubwa kabisa ulaya.......

..........ITAENDELEA .........


"From tz with true luv"
 


king bila world cup ni sawa na kashata bila sukari...

........itaendelea.......
 
Uefa ndio kila kitu angalia wachezaji wanavyojiandaa na uefa ila world cup wapi.. Dogoo anatisha, ni mtu mwingine kabisaa kwa soka ila upende usipende ndio ikweli...
 
king bila world cup ni sawa na kashata bila sukari...

........itaendelea.......

World cup wamebeba wengi mkuu , yaan ukiangalia wachezaji wote waliobeba worldcup ni wengi sana, tena sana, w .cup imebebwa na hundreds of players kwa hiyo sio justification ya u king ,, vitu binafsi ndo vinamtenganisha mchezaji bora na wenzake .. usije na story za w.cup tena hapa njoo na point nyingine ...
 
Uefa ndio kila kitu angalia wachezaji wanavyojiandaa na uefa ila world cup wapi.. Dogoo anatisha, ni mtu mwingine kabisaa kwa soka ila upende usipende ndio ikweli...

nakuunga mkono surambaya. Uefa ndo mpango mzima. Ona wachezaji wa kiwango cha Zlatan Ibrahimovic world cup la mwaka huu analiangalia kwenye luninga kama cc. Giggs na ubora wake wote hayawahi kucheza world cup, lakini ana champions league mbili.
 
Last edited by a moderator:
mwambie huyoooooooooo

Haa haaaa messi haters, ndo ushabiki lakini we accept it ,, but the point is , unajiuliza sana nn messi hajafanya unagundua kuwa karibu kila record sasa hivi ni yake na haivunjwi leo wala kesho then unakimbilia w.cup kama defence yenu,, but the truth will always be the truth . HAMNA KAMA MESSI , dunia imesubiri na baadae akiondoka itasubili miaka mingi sana kumpata mtu kama huyu au hata asitokee tena .


"From tz with true luv"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…