Kinachoshangaza kuna watu badala ya kuhoji uadilifu wa mkulu kutokana na habari hii wao wanahoji authenticity ya wikileaks, c'moon guys wiki leaks hawajaandika hizi cables bali zimeandikwa na wanadiplomasia wa Marekani. Mawasiliano haya regardless yanakuchkiza au kukufurahisha ni kati ya ubalozi wa kimarekani na serikali yao. As such the wishes ni namna gani zingeandikwa au kuwa presented si juu ya wikileaks.
In short tunaona how reckless and corrupt viongozi wetu walivyo!