Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,221
- 4,070
Bro siku ukienda vijijin kwa hawa watu masaki utapaona mbagala. Anambra cjui ambra State huko nina mshikaji nilikutana nae mila hiyo ya mapambano akaja kuwa mshikaji ni hatar na nusu. Sisi tubaki kulogana tu na uchawaHabari wana jamvi.
Twende kwenye Mada yetu,
Igbo ni kabila linalo patikana Kusini Mashariki mwa nchi ya Nigeria na nchi nyingine jirani. Kabila hili limesambaa nchi nzima ya Nigeria hasa kwenye majiji makubwa kama Lagos. Lakini sio hivyo tuu wamesambaa ulimwenguni pote wakifanya biashara.
Igbo ni kabila tajiri na lililofanikiwa zaidi Afrika wana miliki biashara kubwa ndani na nje ya Afrika. Wana bidii sana ya kazi na ujanja wa mjini, Yani ni Smart guys. Wanafana kwa kiasi na Wakikuyu na Wachagga.
Sasa kilicho nifanya niandike uzi huu ni huu utaratibu wa wa Apprenticeship yani wana bebana sana na kurithishana spirit ya biashara ndiyo maana wao wanaendelea kuwa wafanya biashara vizazi baada ya vizazi.
Ni kwamba mtu mwenye biashara yake ana mchukua kijana mdogo anaenda kufanya kazi kwake mara nyingi wana kuwa either mtoto, ndugu au jirani, kwa hiyo mzazi ndiye anaye mkabidhi, anafanya kazi ndani ya miaka 3 hadi 5 bila malipo sana sana zaidi ni anapata huduma za chakula, malazi na mengine ya lazima. Baada ya miaka hiyo 5 ya kufanya kazi kwa bidii kwenye mazingira ya biashara ndio anachwa kuwa huru na yeye ana anzisha biashara yake.
Huu umekuwa ni utaratibu wa muda mrefu yani mtu anafanya kwa vitendo na ndio inafanya kabila hiyo kufanikiwa kibiashara kwa sababu wana vitendo vingi na sio nadharia.
Je utaratibu huu upo kwenye jamii gani hapa Tanzania.? Na unafaa kuigwa..?
Hivi unaifahamu Marangu wewe...???Bro siku ukienda vijijin kwa hawa watu masaki utapaona mbagala. Anambra cjui ambra State huko nina mshikaji nilikutana nae mila hiyo ya mapambano akaja kuwa mshikaji ni hatar na nusu. Sisi tubaki kulogana tu na uchawa
Bro ni kwetu ila mi nakuambia huwafiki hata robo ya niliyoyakuta kwa hawa jamaa.Hivi unaifahamu Marangu wewe...???
Sana mkuu ni utaratibu mzuri jamii hizi mara nyingi hazina wivu zinabenana sana.Ni utaratibu mzuri, umasikini unatoweka haraka miongoni mwa jamii zenye mtindo huo. Hata wachaga na wapare wanabebana kidogo sana kulinganisha na waigbo
Ndio kwa wavivu na wenye uelewa mdogo ila hawa Igbo wanafanya kazi kwa hao Master wao kwa bidii sana na kwa kiasi kikubwa anaona kama ni sehemu ya mmliki kwa hiyo mwisho wa siku anapata mtaji wake anaaza biashara yake.kwa mtu mwenye akili ya chungulia pale ataseme ni utumwa
Ni kweli mkuu ila naona imepungua nguvu kidogo waongezee bidii yaani hao Igbo sio mchezo.Wachaga wameanza hii tangu MDA mrefu ndio maana wako juu na wako mbele siku zote
Aise safi sana naona una waelewa vizuri sana.Watu wengine ni mkikuyu, mbochana, mtutsi, kuna kabisa lipo south Africa karibu na Namibia, baganda, na kabila la rais wa Congo DRC, msomali hasa kusheti, shona to mansion a few. Hawa watu ukikutana nao front ni nouma.
Anambra state na state nyingine zote za Igbo yaani mabilionea waliopo huko ni hatari na wana utaratibu wa kujenga kwao hata kama wapo mjini kuna mahekalu na makasri yakutosha.Bro siku ukienda vijijin kwa hawa watu masaki utapaona mbagala. Anambra cjui ambra State huko nina mshikaji nilikutana nae mila hiyo ya mapambano akaja kuwa mshikaji ni hatar na nusu. Sisi tubaki kulogana tu na uchawa
Marangu ni pazuri mkuu ila kwenye origin state za Igbo kama Anambra ni hatari. Kumejengeka hata mabilionea wengi wa Nigeria wanatokea miongoni mwa wa Igbo.Hivi unaifahamu Marangu wewe...???
Yani huko ni habari nyingine hao watu wana bidii ya kazi na kunyanyuana wanabidii sana. Walipaswa wapate ile nchi yao ya Biafra.Bro ni kwetu ila mi nakuambia huwafiki hata robo ya niliyoyakuta kwa hawa jamaa.
Na wewe kukaa miaka mitano unabet na kuishi kwa shemeji yako ndio akili.Nawewe fanya kazi miaka mitano kwa malipo ya chakula tu. Mnasifia ujinga
Unafahaa kuigwa na jamii zote!Habari wana jamvi.
Twende kwenye Mada yetu,
Igbo ni kabila linalo patikana Kusini Mashariki mwa nchi ya Nigeria na nchi nyingine jirani. Kabila hili limesambaa nchi nzima ya Nigeria hasa kwenye majiji makubwa kama Lagos. Lakini sio hivyo tuu wamesambaa ulimwenguni pote wakifanya biashara.
Igbo ni kabila tajiri na lililo fanikiwa zaidi Afrika wana miliki biashara kubwa ndani na nje ya Afrika. Wana bidii sana ya kazi na ujanja wa mjini, Yani ni Smart guys. Wanafana kwa kiasi na Wakikuyu na Wachagga.
Sasa kilicho nifanya niandike uzi huu ni huu utaratibu wa wa Apprenticeship yani wana bebana sana na kurithishana spirit ya biashara ndiyo maana wao wana endelea kuwa wafanya biashara vizazi baada ya vizazi.
Ni kwamba mtu mwenye biashara yake ana mchukua kijana mdogo anaenda kufanya kazi kwake mara nyingi wana kuwa either mtoto, ndugu au jirani, kwa hiyo mzazi ndiye anaye mkabidhi, anafanya kazi ndani ya miaka 3 hadi 5 bila malipo sana sana zaidi ni anapata huduma za chakula, malazi na mengine ya lazima. Baada ya miaka hiyo 5 ya kufanya kazi kwa bidii kwenye mazingira ya biashara ndio anachwa kuwa huru na yeye ana anzisha biashara yake.
Huu umekuwa ni utaratibu wao wa muda mrefu yani mtu anafanya kwa vitendo na ndio inafanya kabila hiyo kufanikiwa kibiashara kwa sababu wana vitendo vingi na sio nadharia.
Je utaratibu huu upo kwenye jamii gani hapa Tanzania.? Na unafaa kuigwa..?