Na Yangu pia mmekuaje wewe na BAGAH ?
Mnajikumbuka kuulizia zenu tu? Msituulizie na sie kwa niaba ?
Ok , mi namuulizia ya Kongosho, CHANGE HABIT, Maprsoo na Ndetichia.
Boflo twambie haraka kabla KIMBUNGA au DHORUBA iliyotangazwa na Mh. Wenje haijatuchanganya kuna tetesi hata muda wa kushika cm huenda tukaukosa , TUFANI likianza.