Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,233 Reaction score 26,753 Jul 17, 2014 #21 Mbona sioni wanawake
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,724 Jul 17, 2014 #22 Heaven on Earth said: Mbona sioni wanawake Click to expand... Hiyo ni shughuli ya wanaume ati, wanawake wabaki jikoni...
Heaven on Earth said: Mbona sioni wanawake Click to expand... Hiyo ni shughuli ya wanaume ati, wanawake wabaki jikoni...
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,267 Jul 17, 2014 Thread starter #23 Red Scorpion said: Hiyo liquid ya kijani kwenye hilo jagi inanikumbusha wine flani hivi! Click to expand... Mombasa tunayaita maji ya kizalzal kamanda!!...:A S wink:
Red Scorpion said: Hiyo liquid ya kijani kwenye hilo jagi inanikumbusha wine flani hivi! Click to expand... Mombasa tunayaita maji ya kizalzal kamanda!!...:A S wink:
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,267 Jul 17, 2014 Thread starter #24 Heaven on Earth said: Mbona sioni wanawake Click to expand... Wapo jamani. Ni kwamba tu hatukuwapiga picha kwa sababu za stara!...Mambo vipi lakini? cc kahtaan, Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Heaven on Earth said: Mbona sioni wanawake Click to expand... Wapo jamani. Ni kwamba tu hatukuwapiga picha kwa sababu za stara!...Mambo vipi lakini? cc kahtaan,
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,255 Jul 17, 2014 #25 Ab-Titchaz said: Mombasa tunayaita maji ya kizalzal kamanda!!...:A S wink: Click to expand... Alcohol % ngapi?
Ab-Titchaz said: Mombasa tunayaita maji ya kizalzal kamanda!!...:A S wink: Click to expand... Alcohol % ngapi?
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,267 Jul 17, 2014 Thread starter #26 Red Scorpion said: Alcohol % ngapi? Click to expand... Haina kabisa hio kitu...lol.
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,233 Reaction score 26,753 Jul 17, 2014 #27 Bishop Hiluka said: Hiyo ni shughuli ya wanaume ati, wanawake wabaki jikoni... Click to expand... Mhhhh .............
Bishop Hiluka said: Hiyo ni shughuli ya wanaume ati, wanawake wabaki jikoni... Click to expand... Mhhhh .............
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,233 Reaction score 26,753 Jul 17, 2014 #28 Ab-Titchaz said: Wapo jamani. Ni kwamba tu hatukuwapiga picha kwa sababu za stara!...Mambo vipi lakini? cc kahtaan, Click to expand... mambo ni poa.......... huyo Kahtaani ndio alikuwa mpiga picha.........
Ab-Titchaz said: Wapo jamani. Ni kwamba tu hatukuwapiga picha kwa sababu za stara!...Mambo vipi lakini? cc kahtaan, Click to expand... mambo ni poa.......... huyo Kahtaani ndio alikuwa mpiga picha.........
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,383 Reaction score 24,141 Jul 17, 2014 #29 Ab-Titchaz said: Ilipigwa siasa hapo kamanda. Kama una uwezo chungulia humu utashangaa vile jamaa wanahasira... https://www.facebook.com/photo.php?v=721877704537245&set=vb.215892765135744&type=2&theater Click to expand... mkuu noma, watu wanafunguka ni balaa, mburukenge ndo nani?
Ab-Titchaz said: Ilipigwa siasa hapo kamanda. Kama una uwezo chungulia humu utashangaa vile jamaa wanahasira... https://www.facebook.com/photo.php?v=721877704537245&set=vb.215892765135744&type=2&theater Click to expand... mkuu noma, watu wanafunguka ni balaa, mburukenge ndo nani?
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,267 Jul 17, 2014 Thread starter #30 nguvu said: mkuu noma, watu wanafunguka ni balaa, mburukenge ndo nani? Click to expand... Kumbe umeona eh....Rais Uhuru Kenyatta mazee ndo kalengwa hapo. Watu wa Pwani wanahasira sana na hii serikali.
nguvu said: mkuu noma, watu wanafunguka ni balaa, mburukenge ndo nani? Click to expand... Kumbe umeona eh....Rais Uhuru Kenyatta mazee ndo kalengwa hapo. Watu wa Pwani wanahasira sana na hii serikali.