zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Huo uzi siujui banaYaan sijamuona yule wa Uzi pendwa wa Kula Tunda kimasihara naona unatania tu
Hapo inamanisha ulikuwa wa kwanza kukucomment kwenye uzi wangu wa kwanza JFIla we jamaa unanifeel aseee
Naona umeniweka seat ya mbele kabisa hapo
Siijui ID yake Ila namjua kwa jina Maxence MeloHata jf founder hayupo itifaki haijazingatiwa
Be brave sonSiijui ID yake Ila namjua kwa jina Maxence Melo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unamjua ONTARIO au unamsikia..?[emoji23]
Unajua aliwafanya nini makomamanga ya watu humu..?
Unajua ni kiasi gani aliipeperusha bendera ya forex baadae ikageuka mwiba kwa vilamba mwiko[emoji23][emoji23]
Kwanza kalale uje tena