The emerging heros in CHADEMA

The emerging heros in CHADEMA

The Conquerer

Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
79
Reaction score
94
Sioni sababu ya vita juu ya nani agombee urais CHADEMA kati ya viongozi wake kwa sababu kuna viongozi wengi tu katika chama hicho wenye sifa lakini hawana makelele. Kwa mfano Vincent Nyerere ana sifa ila hana presha kabisa ya jambo hilo. Angalia alivyotingisha Tunduma na Iringa hivi Karibuni. Nashauri viongozi wa CHADEMA wajaribu kujifunza utulivu kutoka kwake.
attachment.php


attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • SAM_0460.JPG
    SAM_0460.JPG
    726.7 KB · Views: 428
  • SAM_0466.JPG
    SAM_0466.JPG
    1.4 MB · Views: 410
Chadema huwa hatuna wasiwasi kila mtu anaweza akasimamishwa na akagombea na akashinda bila pingamizi.
 
Mungu Akubariki sana Vincent Nyerere na Makamanda wengine Joseph Mbilinyi,Godbless Lema,Ezekia Wenje,Salvatory Machemli,Higness Kiwia,Joshua Nassari, Mch.Peter Msigwa, Kasulumbayi Mhoja,Oplukwa Meshack,Prof.Kahigi,Anthony Mbassa,Silinde,Selasini Joseph hawa ni makamanda ambao wamekuwa imara,wameonyesha ushirikiano kwa uongozi kwa CDM na hata kwa Chadema Legends Freeman Mbowe,Dk.Slaa,Said Arfi,Tundu Lissu,John Mnyika,Halima Mdee,ndesamburo,Ben Kigaila...!

Na pia niwapongeze kwa kuweza kujinasua na mtego wa wakala wa CCM ndani ya CHADEMA, ambae amekuwa akifanya juu chini kuweza kuwanunua viongozi wa CDM watofautiane na Viongozi wao,

Nadhani Wakala mnamjua ndugu zangu..,ambae ameweza kuwanunua vijana wadogo kama HABIB MCHANGE,MWAMPAMBA,JULIANA SHONZA,CHAGULANI ili kuwasaliti viongozi wa juu wa CDM na hata kuwahujumu baadhi ya wabunge wenzake wa CDM kwa manufaa ya CCM..!
 
mungu akubariki sana vincent nyerere na makamanda wengine joseph mbilinyi,godbless lema,ezekia wenje,salvatory machemli,higness kiwia,joshua nassari, mch.peter msigwa, kasulumbayi mhoja,oplukwa meshack,prof.kahigi,anthony mbassa,silinde,selasini joseph hawa ni makamanda ambao wamekuwa imara,wameonyesha ushirikiano kwa uongozi kwa cdm na hata kwa chadema legends freeman mbowe,dk.slaa,said arfi,tundu lissu,john mnyika,halima mdee,ndesamburo,ben kigaila...!

na pia niwapongeze kwa kuweza kujinasua na mtego wa wakala wa ccm ndani ya chadema, ambae amekuwa akifanya juu chini kuweza kuwanunua viongozi wa cdm watofautiane na viongozi wao,

nadhani wakala mnamjua ndugu zangu..,ambae ameweza kuwanunua vijana wadogo kama habib mchange,mwampamba,juliana shonza,chagulani ili kuwasaliti viongozi wa juu wa cdm na hata kuwahujumu baadhi ya wabunge wenzake wa cdm kwa manufaa ya ccm..!

makamanda mnatisha. Kazeni buti mfikie malengo. Msilombane wenyewe kwa wenyewe maana mkifanya hivyo, mtapoteza dira. Nawatakia kila la heri wakuu.
 
Back
Top Bottom