Umenikataa KBS sioUmeona kuvichoma moto vyeti ndiyo suluhisho mkuu? Sometimes connection inaenda na vyeti ujue!ungevifungia tu huko kabatini siku ukihitaji iwe rahisi. Usikate tamaa si pekeako ni wengi tu bado tunapambana[emoji47][emoji46]
Duh jamaa kakata tamaa sana. Ila kuna muda mtu inabidi asahau kuwa ana vyeti atafute plan B maana vyeti kuna muda vinakufanya uzubae uwe na matarajio ambayo yanaweza yasije au yachelewe sana. Jamaa sema asingevichoma angeviweka mbali tuUmeona kuvichoma moto vyeti ndiyo suluhisho mkuu? Sometimes connection inaenda na vyeti ujue!ungevifungia tu huko kabatini siku ukihitaji iwe rahisi. Usikate tamaa si pekeako ni wengi tu bado tunapambana😧😦
Mambo Pet!Umenikataa KBS sio
Nakupenda mkuuMambo Pet!
Umuuzie nani boss?? ama unaishi kwenye 1980's?Usichome vyeti moto, unaweza kupata kazi za muda ukavitumia hivo vyeti.Mm nauza genge lakini siku nyengne napata vijikazi vya muda kwa kupitia hvyo vyeti. Pia nina plan ya kuviuza manake kuna watu wana connection lakini hata vyeti hawana na hawana akili ya kufaulu masomo ya elimu ya juu. So mkuu afadhali ungeviuza tu ukapata mtaji wa kufungua japo barber shop mtaani.
unafikiri kuna mbongo kweli jasiri wa kufanya hivyo anachangamsha genge tu hapa..Duh jamaa kakata tamaa sana. Ila kuna muda mtu inabidi asahau kuwa ana vyeti atafute plan B maana vyeti kuna muda vinakufanya uzubae uwe na matarajio ambayo yanaweza yasije au yachelewe sana. Jamaa sema asingevichoma angeviweka mbali tu
washakuja watu wa2 wanataka cheti cha form 4 chenye ufaulu angalau div 3.Umuuzie nani boss?? ama unaishi kwenye 1980's?
Huwezi kutumia cheti cha mtu siku hizi chief.washakuja watu wa2 wanataka cheti cha form 4 chenye ufaulu angalau div 3.