Mkuu hii habari ni ya muda kidogo. Nime perusal nimeona kumbe mkuu wa majeshi-Gen. Mwamunyange alishaikanusha kwamba si kweli na hakuna wa North Korea wowote waliokuja,amesema kama wanataka technicians basi wangewaleta warusi wenyewe ambao ndio wagunduzi wa ndege hizo. Taarifa inapatikana on line kwenye The Citizen,13th/August/2013. Ningeiweka hapa ila natumia ya tochi. Mods au anayeweza atuwekee tupanue uelewa zaidi.