Ng'wanamangilingili JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 5,794 Reaction score 4,883 Mar 28, 2023 #1 Kuna kufumaniwa hapa tutapigwa moja bila, mpira tunamiliki ila hatufungi. UG wanatupumulia karibu sana.
Kuna kufumaniwa hapa tutapigwa moja bila, mpira tunamiliki ila hatufungi. UG wanatupumulia karibu sana.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,322 Reaction score 103,593 Mar 28, 2023 #2 Mchawi katika ubora wako Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,960 Reaction score 55,976 Mar 28, 2023 #3 Yametimia
mkadiriaji majenzi JF-Expert Member Joined Mar 11, 2023 Posts 260 Reaction score 580 Mar 28, 2023 #4 Ng'wanamangilingili said: Kuna kufumaniwa hapa tutapigwa moja bila, mpira tunamiliki ila hatufungi. UG wanatupumilia karibu sana Click to expand... Na imekuwa kweli
Ng'wanamangilingili said: Kuna kufumaniwa hapa tutapigwa moja bila, mpira tunamiliki ila hatufungi. UG wanatupumilia karibu sana Click to expand... Na imekuwa kweli
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,397 Reaction score 289,531 Mar 28, 2023 #5 Ng'wanamangilingili said: Kuna kufumaniwa hapa tutapigwa moja bila, mpira tunamiliki ila hatufungi. UG wanatupumulia karibu sana. Click to expand... [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ng'wanamangilingili said: Kuna kufumaniwa hapa tutapigwa moja bila, mpira tunamiliki ila hatufungi. UG wanatupumulia karibu sana. Click to expand... [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ng'wanamangilingili JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 5,794 Reaction score 4,883 Mar 29, 2023 Thread starter #6 HIMARS said: Mchawi katika ubora wako Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app Click to expand... Sio uchawi wala tawile ndugu ni mpira tu unaonekana unavyopigwa kabla na wakati wa mechi. Sie tuwekeze tu katika propaganda
HIMARS said: Mchawi katika ubora wako Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app Click to expand... Sio uchawi wala tawile ndugu ni mpira tu unaonekana unavyopigwa kabla na wakati wa mechi. Sie tuwekeze tu katika propaganda